Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

Well si ndiyo maama kuna maamuzi magumu huwa lazima yafanywe sehemu zenye changamoto kama hizo. Mfano, marehemu ana familia ya watu 10 na gari linaweza kuchukia 6 na mwili, wanne watabaki.
 
Well si ndiyo maama kuna maamuzi magumu huwa lazima yafanywe sehemu zenye changamoto kama hizo. Mfano, marehemu ana familia ya watu 10 na gari linaweza kuchukia 6 na mwili, wanne watabaki.

Unaweza kukuta gari ni moja, tena dogo.

Halafu wanatakiwa wasafirishe mwili, familia, na vyakula vya kupeleka kwenye msiba.

Sidhani kama mkurugenzi alikuwa na nia mbaya.
 
Mbona kwenye ndege maiti wanasafirishwa kama cargo?
 
Kwamba ndani ya gari walipanda waombolezaji au. Huyo dereva naye angewajibika utabebaje maiti kwenye carrier. So sad.
 
Dah kuna kipindi nipo kijiji kimoja maeneo ya kusini huko pahali panaitwa Nainokwe jamaa walisafilisha maiti kwa pikipiki yani dereva amefungiwa maiti na kamba anaendesha mpk msibani kukwepa ghalama ya kuhifadhi maitihospt kiukweli niliona umasikini nishida sana
 
Duuuu! Kaimu mkurugenzi katisha, nataka kujua hakuna watu waliomshauri kuwa kufanya hivyo sio uungwana
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasimdikiazaji hasa familia gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?
 
Kwamba ndani ya gari walipanda waombolezaji au. Huyo dereva naye angewajibika utabebaje maiti kwenye carrier. So sad.
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasimdikiazaji hasa familia gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?
 
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasindikizaji hasa familia, gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?
 
Kaimu mkurugenzi hana utu kabisa yaani
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasindikizaji hasa familia, gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?
 
Duuu! Sijawahi kuona kitu kama hii! Hata kama ni visa, lakini imagine it were you!
Hapo msiba unasubiriwa kwenu, halafu mwili unaingia namna hiyo, na hiki ni kipindi cha mvua.

Ni dharau ya hali ya juu sana.
Ni kweli nimeona mara nyingi wakisafirisha hivyo na nilikuwa najiuliza sana why wanaweka wenzao juu ya gari? Hawawafikirii wanaoshuhudia wanawaza nini pamoja na ndugu?
 
Huu utaratibu upo siku nyingi na hauna tatizo lolote. Hata kwenye ndege maiti hukaa sehemu ya mizigo.
Mkuu kwa asilimia kubwa huu ndio utaratibu wa kusafirisha maiti za watumishi kwa zile safari za mbali,sema kilichotokea hapa ni nguvu ya mitandao ya kijamii mkuu inabidi tuishi nayo kwa akili sana.
 
Sawa...lkn syo kuweka maiti juu ya gari
Bora wangemtia kwenye kirikuu

Ova
Mkuu kuna kitu ujakijua hapo,huyo ni mtumishi wa halmashauri hivyo usikute safari inaanzia mara mzigo unapelekwa mtwara au ruvuma hiyo.

Ukitia kwenye kirikuu si mtafika mzigo umepukutika wote kwenye sanduku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…