3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Ninamshukuru Mungu amekuwa mwema mpk sasa, ninaendelea vyema sana kesho tunahitimishaunaendeleaje na siku 10 za maombi kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninamshukuru Mungu amekuwa mwema mpk sasa, ninaendelea vyema sana kesho tunahitimishaunaendeleaje na siku 10 za maombi kiongozi
Kwenye ndege maiti inasafirishwaje?Ana safirishwa kama parcel
Au kiroba huu siyo ubinadam
Ova
Well si ndiyo maama kuna maamuzi magumu huwa lazima yafanywe sehemu zenye changamoto kama hizo. Mfano, marehemu ana familia ya watu 10 na gari linaweza kuchukia 6 na mwili, wanne watabaki...Inawezekana Kaimu Mkurugenzi alilazimika kumsafirisha marehemu namna hiyo kutokana na ufinyu wa bajeti.
..Labda idara husika haina magari ya kutosha kusafirisha wanafamilia pamoja na mwili wa marehemu.
..Ni kweli sote tungependa mwili wa marehemu usafirishwe kwa heshima zaidi ya ilivyofanyika.
Well si ndiyo maama kuna maamuzi magumu huwa lazima yafanywe sehemu zenye changamoto kama hizo. Mfano, marehemu ana familia ya watu 10 na gari linaweza kuchukia 6 na mwili, wanne watabaki.
Uchama umeingiaje tenaChadema mna roho mbaya sana!
Tarime imejaa machadema bwashee!Uchama umeingiaje tena
Nimeuliza swali....nijibiwe basi
Ova
Kama parcel ila mwili unawkwa kwa utaratibu na ukifika kwenye destination unatolewa na kubebwa kwa taratibuKwenye ndege maiti inasafirishwaje?
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasimdikiazaji hasa familia gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?Duuuu! Kaimu mkurugenzi katisha, nataka kujua hakuna watu waliomshauri kuwa kufanya hivyo sio uungwana
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasimdikiazaji hasa familia gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?Kwamba ndani ya gari walipanda waombolezaji au. Huyo dereva naye angewajibika utabebaje maiti kwenye carrier. So sad.
Huo ni utaratibu wa kawaida sana tu ila jumba bovu limemwangukia Yasini watumishi wengi kwenye Hamashauri nyingi ikiwemo Urambo na Kaliua wanasafirishwa hivyo kutoa nafasi kwa wasindikizaji hasa familia, gari inatolewa moja watu zaidi ya saba wanakwendaje?Kaimu mkurugenzi hana utu kabisa yaani
Ushawahi kuona mwili umebebwa na bodaboda na unasafirishwaTarime imejaa machadema bwashee!
Mbona vijijini huko maiti hubebwa kwenye bodaboda piaUnyama wa hali ya juu.
Ni kweli nimeona mara nyingi wakisafirisha hivyo na nilikuwa najiuliza sana why wanaweka wenzao juu ya gari? Hawawafikirii wanaoshuhudia wanawaza nini pamoja na ndugu?Duuu! Sijawahi kuona kitu kama hii! Hata kama ni visa, lakini imagine it were you!
Hapo msiba unasubiriwa kwenu, halafu mwili unaingia namna hiyo, na hiki ni kipindi cha mvua.
Ni dharau ya hali ya juu sana.
Mkuu kwa asilimia kubwa huu ndio utaratibu wa kusafirisha maiti za watumishi kwa zile safari za mbali,sema kilichotokea hapa ni nguvu ya mitandao ya kijamii mkuu inabidi tuishi nayo kwa akili sana.Huu utaratibu upo siku nyingi na hauna tatizo lolote. Hata kwenye ndege maiti hukaa sehemu ya mizigo.
Mkuu kuna kitu ujakijua hapo,huyo ni mtumishi wa halmashauri hivyo usikute safari inaanzia mara mzigo unapelekwa mtwara au ruvuma hiyo.Sawa...lkn syo kuweka maiti juu ya gari
Bora wangemtia kwenye kirikuu
Ova