Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha sheria iwabane sasaLabda walitaka bana matumizi
Ova
Sawa...lkn syo kuweka maiti juu ya gariHuu utaratibu upo siku nyingi na hauna tatizo lolote. Hata kwenye ndege maiti hukaa sehemu ya mizigo.
Ni mzembe sana, kwanza hizo Toyota hard top ile siti ya kati na ya nyuma zinatolewa na jeneza linakaa fresh na pembeni watu wanakaa.Duuuu! Kaimu mkurugenzi katisha, nataka kujua hakuna watu waliomshauri kuwa kufanya hivyo sio uungwana
Sawa lakini za mwizi si ni arobaini??Mbona wengi tu wanasafirisha hivyo
Nafikiri umeshapita sehemu ukahisi harufu ya mzoga wa mnyama fulani aliyekufa hapo na hakuna aliyeshughulika na mzoga ule. Kama wanadamu baada ya kifo tungefanyiwa vile, basi mitaani ingekuwa ni harufu ya mizoga yetu.Jafo yuko vizuri, ila wengine walisema habari za mitandaoni zina maswali na majibu hukohuko sasa wakianza kufanyia kazi taarifa za mitandaoni itakuwa sio vyema sana!!. Ila heshima ya mtu aliyekufa HAIPO....ni sawa na mzoga..sema desturi zetu ndio tatizo yaani
Si utu kwa kweli!Duuu! Sijawahi kuona kitu kama hii! Hata kama ni visa, lakini imagine it were you!
Hapo msiba unasubiriwa kwenu, halafu mwili unaingia namna hiyo, na hiki ni kipindi cha mvua.
Ni dharau ya hali ya juu sana.
Wa Tz tumejua ndege imekuwa nongwa! Ni maiti za WaTz wangapi zinasafirishwa na ndege? Basi huyu marehemu angepelekewa bombardia!Ukishakufa hauna thamani tena ndiyo maana hata kwenye ndege unatupiwa sehemu ya mizigo huenda mkurugenzi aliapply namna hiyo akaamua awekwe kwenye carrier maana ni mzigo huo
Kama wewe ni mtumishi wa umma basi kunakitu umesahau.Mimi ningemuweka ndani Kisha kumfungulia kesi ya kukiuka kanuni ya Q7 na uhujumu uchumi kwa kutumia gari vibaya
Nimebofya "Like"; Kaimu Mkurugenzi ni mtu mdogo mno kwa waziri, kama ni miongozo, aliyetakiwa kusimamia zoezi ni RAS Singida akishirikiana na RAS mara----- hawa ndo size ya waziri, hawa ndio naopaswa kuwatolea maagizoMbona wengine wanasafirisha na pikipiki?? Hii Ina highlights tuna shida ya kuwa na magari ya kusafirisha wagonjwa na miili ya waliokufa, huyo aliesimamishwa katolewa kafara tuu, tuna tatizo la kimfumo, ila waziri Jafo hakuona hili ? Karukia kumfukuza kazi ... ombea tusiwe na viongozi wenye ego, wanaotaka kufanya waonekane wanafanya kazi! It is sick to watch 😏🤔
Huenda alikuwa ofisini akiendelea na kazi, kama kuandaa malipo ya mazishi ya marehemu. Yaani hapo ni ujuha kumsimamisha kazi huyo kaimu mkurugenzi kwa tendo alilofanya mtumishi mwingine (labda dereva), na unakuta gari hilo lilikuwa na abiria zaidi ya 8..Duuuu! Kaimu mkurugenzi katisha, nataka kujua hakuna watu waliomshauri kuwa kufanya hivyo sio uungwana
kiutumishi ofisi inatakiwa imgaramie marehemu kila kitu yani ofisi ya mkurugenzi imekosa milioni 3 ya kukodi costaMbona wengine wanasafirisha na pikipiki?? Hii Ina highlights tuna shida ya kuwa na magari ya kusafirisha wagonjwa na miili ya waliokufa, huyo aliesimamishwa katolewa kafara tuu, tuna tatizo la kimfumo, ila waziri Jafo hakuona hili ? Karukia kumfukuza kazi ... ombea tusiwe na viongozi wenye ego, wanaotaka kufanya waonekane wanafanya kazi! It is sick to watch 😏🤔
Hapa ndio uone tofauti ya watu wa kitaa (mchanganyiko wa wasomi na wasio wasomi) na hao wasomi wa Halmashauri. Aliyefariki alikuwa mkuu wa Idara, Halmashauri ina wakuu wa Idara zaidi ya 13, walishindwa kujiongeza kuchanga hata elfu 50 kila mmoja ili rafiki yao (mkuu wa idara mwenzao) akodiwe hata Noah kama utetezi ni kuwa Halmashauri haina magari wala fedha. Watu wa mtaani wanawaza kibusara kuliko hao jamaa wa Tarime.Duuh hii.kwel.hapana ,kama raia tu mtaan huwaga wanajichanga na kukodi coaster ya kusafairisha maiti ,sembuse na serikal?huu sio uungwana .ilaaa tuishi vizur jmn maiaha yetu si marefu hapa dunian
Aliyemkaimisha ukurugenzi nafikiri ni Mkurugenzi mwenyewe aliyepata ajali (internal), alimkaimisha kabla hajaondoka hapo Tarime.Kama wewe ni mtumishi wa umma basi kunakitu umesahau.
Hapa hata aliyemkaimisha ana shida, alimkaimisha mtu asiyejua taratibu.Foremost, alipashwa ashirikishe LGA ya mahali palipotokea ajali, secondly, atakuwa aliunda kamati au alifanya kikao cha menejiment na kupanga sequency of events. Kama hawakumshauri vizuri, basi kuna shida kwenye halmashauri hiyo. Hii ndo tabu ya kukaimisha wasiojua taratibu
Tarime utasema siyo Tanzania yaani kuna vituko sana!