Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Anamuonea bure Arusha wanajitambua hakuna watu wa kusombwa kwenye malori kwa elfu tanotano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nadhani waziri anamuharibia raisi kwa kujua au kutokujua haiwezekani sababu hizo kumuhamisha mtu ambae hajaiba nakasimamia mradi nakukamilika vyema halafu meneja ni Mtendaji hiyo kazi yakukusanya watu niyakisiasa zaidi ndio mana kuna wakuu wamikoa, wilaya na wakurugenzi hata kanuni zautumishi zinakataza kutweza utu wa mtu namna hiyo kwa maslahi yakisiasa.
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea.
Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio barabara yao? Kama ni barabara ya Wananchi mbona Wananchi hawapo hapa? Au unataka Serikali ionekane haijafanya kitu katika maeneo yao?”
Waziri Jafo amemuhoji Meneja huyo ambaye pia ndio Mratibu wa barabara za Jijini humo “Kwanini hii tunazindua barabara hii Wananchi hawapo? Unataka Rais aonekane hajafanya kitu? Rais ameweka fedha hapa. Mmeficha halafu kesho na kesho kutwa mseme Rais hajafanya kitu?”
Aidha, Meneja huyo alipoanza kujitetea na kusema kuwa alidhani Mtendaji (Mkurugenzi) amefanyia kazi suala hilo, Waziri Jafo alimwambia “Wewe si barabara zako? Unafanya sabotage ili Rais aonekane hajafanya kitu halafu kesho Wananchi waseme hakuna lolote Rais amefanya?”
Waziri Jafo amemalizia “Ninyi ndio wataalamu mnaofanga Serikali ionekane haijafanya jambo wakati sisi hapa Arusha tumewekeza fedha nyingi. Mji wa Arusha tumetandaza Barabara ila wewe unaficha hata Wananchi hapa jirani wasijue tumeweka barabara”
Kulewa madaraka ndo hivi.

Sasa Jafo alitaka huyo Engineer akatafute wananchi waje wamsikilize? Wananchi waache kutafuta ugali wao waje wamsikilize yeye aliyeshiba? Labda wawe wanaccm. Jafo amelewa sifa tangu adhulumu uchaguzi wa serikali za mitaa amekuwa kipenzi cha JPM
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea.
Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio barabara yao? Kama ni barabara ya Wananchi mbona Wananchi hawapo hapa? Au unataka Serikali ionekane haijafanya kitu katika maeneo yao?”
Waziri Jafo amemuhoji Meneja huyo ambaye pia ndio Mratibu wa barabara za Jijini humo “Kwanini hii tunazindua barabara hii Wananchi hawapo? Unataka Rais aonekane hajafanya kitu? Rais ameweka fedha hapa. Mmeficha halafu kesho na kesho kutwa mseme Rais hajafanya kitu?”
Aidha, Meneja huyo alipoanza kujitetea na kusema kuwa alidhani Mtendaji (Mkurugenzi) amefanyia kazi suala hilo, Waziri Jafo alimwambia “Wewe si barabara zako? Unafanya sabotage ili Rais aonekane hajafanya kitu halafu kesho Wananchi waseme hakuna lolote Rais amefanya?”
Waziri Jafo amemalizia “Ninyi ndio wataalamu mnaofanga Serikali ionekane haijafanya jambo wakati sisi hapa Arusha tumewekeza fedha nyingi. Mji wa Arusha tumetandaza Barabara ila wewe unaficha hata Wananchi hapa jirani wasijue tumeweka barabara”
Nilichojifunza hapa ni kuwa Mh Jafo anajua kabisa Jpm hakuna alichofanya cha kuwashawishi watanzania. Na anataka kuhamisha lawama zinazomfika Jpm kuwa ni kwa sababu ya watendaji hawaoneshi mafanikio ya jpm, tena anaongeza kuwa wanamhujum.😅😅😅😅😅😅
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amemuondoa kwenye nafasi yake Meneja wa TARURA Jijini Arusha, Podia Mwankenja kwa kushindwa kukusanya Wananchi kushuhudia barabara zilizokamilika alizokuwa akizitembelea.
Waziri Jafo amesema, “Mnataka Serikali ionekane haijafanya kitu wakati Wananchi ndio barabara yao? Kama ni barabara ya Wananchi mbona Wananchi hawapo hapa? Au unataka Serikali ionekane haijafanya kitu katika maeneo yao?”
Waziri Jafo amemuhoji Meneja huyo ambaye pia ndio Mratibu wa barabara za Jijini humo “Kwanini hii tunazindua barabara hii Wananchi hawapo? Unataka Rais aonekane hajafanya kitu? Rais ameweka fedha hapa. Mmeficha halafu kesho na kesho kutwa mseme Rais hajafanya kitu?”
Aidha, Meneja huyo alipoanza kujitetea na kusema kuwa alidhani Mtendaji (Mkurugenzi) amefanyia kazi suala hilo, Waziri Jafo alimwambia “Wewe si barabara zako? Unafanya sabotage ili Rais aonekane hajafanya kitu halafu kesho Wananchi waseme hakuna lolote Rais amefanya?”
Waziri Jafo amemalizia “Ninyi ndio wataalamu mnaofanga Serikali ionekane haijafanya jambo wakati sisi hapa Arusha tumewekeza fedha nyingi. Mji wa Arusha tumetandaza Barabara ila wewe unaficha hata Wananchi hapa jirani wasijue tumeweka barabara”
Hahaaa mkurugenz8 alikosa pesa za kukodi malori ya kubeba wanalumumba😁😁Upande wa kuleta wananchi kwenye uzinduzi wa mradi wa serikali, ni upande wa siasa na vitengo vyao vya propaganda, na kamwe siyo kazi ya meneja!
Nashangazwa sana na hawa ccm! Juzi tu wamewapa wafungwa kazi za chama.
Hapa meneja naye anapewa kazi ya siasa na propaganda. Utadhani nchi ya kikomunisti!
Hii nchi bhana! Ndo maana tunabakia maskini pamoja na utajiri wa rasilimali tulionao! Vichwa vibovu kabisa!
Huwa wanaachiwa hivi kama alivyosema Maghufuli kuwaambia wakurugenzi kuwa inakuwaje awateuwe halafu ccm wasishinde uchaguzi.
Kuna hali mbaya huko tunakoelekea kama tunataka demokrasia ya kweli.
Au hizo barabara ziko whatsapp kwamba lazima uite watu ndio wazione?? Eti wanasababisha wananchi waone serikali haijafanya kitu. Kwani hiyo barabara ya Arusha ndio itafanya tuon3 kafanya kitu. Hii awamy ni ya hovyo sana.Huyu naye kwanza kuwa na tabia za ajabusana. Kwani lazima watu waje.??? Unaweza kuwaalika lakini bado wakaacha tu kuja kwani hio Ni hiari.
Pili ni ishara ya ccm kutokubalika na Mambo yake ya uonevu
Jafo namkubali ila sababu alizotoa kwa meneja wa TARURA ni za kijinga na kishamba kupindukia.
And that's why I've said it's my attitudeIrrelevant.
Huu ni mpango na maagizo ya mkuu angalia sababu ya kumtumbua linganisha na Kanda anayotokea utajua sababuAmemfukuza mtu kazi kwa sababu za hovyo kabisa nilikua namkubali Jafo kwa hilo hapana watu bara bara Arusha si wanaziona na ishu ya sasa hivi utamwita nani aangalie bara bara wakati ana shughuli za kufanya na serikali ni kazi yake kujenga bara bara...yaani hao tarura walivyo busy na hizo bara bara harafu unamtimua mtu bila sababu sio kabisa...labda kama alikua anamtafutia sababu lakini sio hiyo ya wananchi....