Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Acheni ramli chonganishi. Sasa ni wakati wa kujenga nchi.
Huwezi jenga nchi bila kuliwa na mabeberu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni ramli chonganishi. Sasa ni wakati wa kujenga nchi.
Huwezi jenga nchi bila kuliwa na mabeberu
Mama Samia ataenda Zenji, then Mwinyi atarud hukuJaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Wachumia tumbo badala ya kujadili vipaumbele vya taifa, wapo bize kuunda timu za 2025.Baada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba....
CCM ni miongoni mwa vyama vikongwe,vyenye nguvu na heshima barani Afrika. Utake usitake yoyote atakayepitishwa na chama ndiye atakuwa Rais wa Tanzania.Sioni mtu mwenye sifa na hadhi ya kuwa rais huko CCM
Naomba qualities angalau 5 tu zilizokuaminisha kuwa Jafo anaweza kuwa Rais ukiacha kigezo cha dini yakeBaada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba....
Sio Magu tu ni kawaida kiongozi yeyote mkishamtabiria mteule anabadili maamuziHii post yako inaweza mfanya jafo atengenezewe scandle na system ili aondolewe kwenye uwaziri na kufutwa kwenye uso wa siasa za Tanzania kama wengine...
Jaffo kahurumiwa tu, huko TAMISEMI kashindwa kudhibiti rushwa na matumizi mabaya ya pesa, labda apate u-Rais wa WasafiBaada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba....
UnaotaBaada ya wataka urais wengi kutokuwepo kwenye baraza hili jipya la uwaziri na Seleman Jafo kuwepo sasa njia ya Chamwino 2025 ni nyeupe.
Jaffo amepunguziwa upinzani kabisa hapo amebakia yeye na mwinyi na Mwigulu kwa mbali (ukizingatia kauli ya Rais kwamba hatamuachia nchi mtu mzee)
Makonda
Makamba...
Hapo kwa mama Samia uko sahihi kabisa na atakuwa Rais mwakani kwa mujibu wa Katiba yetu.Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Hawajuhi hata kama kuna kifo mbwa hawa.maCCM menyewe ni kufikiri madaraka tu na si maendeleo ya watu katika nchi yao hasa kwenye suala la haki na usawa.
Huwa mnaakili za kupitiliza. Sio afyaWewe Magu huyu siyo wa kuamini. Juzi kasema ana reserve kwenye wabunge wa majimbo. Ila cha ajabu ili kupata naibu wazi imebidi ateue mbunge.
Kulikoni mwakani kunani?Hapo kwa mama Samia huko sahihi kabisa na atakuwa rais mwakani kwa mujibu ya Katiba yetu.
Siku ccm watakapoteua mgombea urais mwanamke ndipo watakapokuwa wamejifunga bao wenyewe mchana kweupee tena bao LA mkono!!Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Mwakani kutakuwa na msiba mkubwa wa furahaKulikoni mwakani kunani?
Mungu anataka kumpenda mtu zaidi?
Mama Samia big no. I mean sio kwamba simpendi. Ila system haijawekeza kwake. Lazima watakuja na mtu flani.Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Hivi vipumbavu vya Lumumba vikishanunuliwa bia tu kazi kuropoka tu kuwaza upambe.Naomba qualities angalau 5 tu zilizokuaminisha kuwa Jafo Jafo anaweza kuwa Rais ukiacha kigezo cha dini yake
Je aliyepo akitangulia mbele ya haki,huyo mama atakamatia?Mama aamia big no. I mean sio kwamba simpendi. Ila system hainawekeza kwake. Lazima watakuja na mtu flani