Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Jafo ana nafasi kubwa iwapo atabaki barazani hadi 2025.
 
Wachumia tumbo badala ya kujadili vipaumbele vya taifa, wapo bize kuunda timu za 2025.

Mmerogwa si bure
 
Naomba qualities angalau 5 tu zilizokuaminisha kuwa Jafo anaweza kuwa Rais ukiacha kigezo cha dini yake
 
Hii post yako inaweza mfanya jafo atengenezewe scandle na system ili aondolewe kwenye uwaziri na kufutwa kwenye uso wa siasa za Tanzania kama wengine...
Sio Magu tu ni kawaida kiongozi yeyote mkishamtabiria mteule anabadili maamuzi

Yaani hapa mnaoharibu ulaji wa mtu ni nyinyi watabiri
 
Jaffo kahurumiwa tu, huko TAMISEMI kashindwa kudhibiti rushwa na matumizi mabaya ya pesa, labda apate u-Rais wa Wasafi
 
Unaota
 
Wewe Magu huyu siyo wa kuamini. Juzi kasema ana reserve kwenye wabunge wa majimbo. Ila cha ajabu ili kupata naibu wazi imebidi ateue mbunge.
Huwa mnaakili za kupitiliza. Sio afya
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Siku ccm watakapoteua mgombea urais mwanamke ndipo watakapokuwa wamejifunga bao wenyewe mchana kweupee tena bao LA mkono!!
 
Naomba qualities angalau 5 tu zilizokuaminisha kuwa Jafo Jafo anaweza kuwa Rais ukiacha kigezo cha dini yake
Hivi vipumbavu vya Lumumba vikishanunuliwa bia tu kazi kuropoka tu kuwaza upambe.

Nchi hii aliyefanikiwa kupenya nje ya mkono wa system ni Jakaya Kikwete peke yake na hatotokea mtu mwingine yeyote.

Kwa tume hii na katiba hii bado Rais ataendelea kuteuliwa na watu wachache halafu wajinga wengi ndio watakwenda kuaproval huku wakidhani wao ndio wanapiga kura.

Magufuli kifo cha Mkapa kimemliza mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…