Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti ugonjwa umshinde mzungu auweze mzaramo wa kisarawe
 
Wapinzani hawaoni ajabu kufa, maana wasipokufa kwa corona watauliwa na watawala ili wakae madarakani kwa shuruti. Tunaomba corona itusaidie kuvuna hawa wezi wa kura.
Wekeza Kwa Mungu mkuu, kumejaa masamaha na furaha ya kudumu!!
Acha wapuuzi wapende vya duniani ambavyo si vya kudumu,

Njoo Kwa Yesu uokoke Leo, Furaha, msamaha na Amani zitakuwa fungu lako, na hutaogopa chochote hata mauti hutaiogopa
 
UKIWA VITANI USICHAGUE SILAHA
 
Israel ndiyo nchi pekee ambayo 1/2 ya raia wake wameshapata chanjo hasa ma kundi hatari na idadi ya vifo imepungua sana.
Mimi niliomba waruhusu ziletwe, wawaulize wananchi nani yuko tayari kuchanjwa na nani hayuko tayari, ungeona Kama Mawaziri wasingekuwa No.1. Mbona ya Madagascar walikunywa peke yao?
 
ZA KUAMBIWA UMECHANGANYA NA ZAKO
 
Mimi niliomba waruhusu ziletwe, wawaulize wananchi nani yuko tayari kuchanjwa na nani hayuko tayari, ungeona Kama Mawaziri wasingekuwa No.1. Mbona ya Madagascar walikunywa peke yao?
Usishangae kuwa mkopo wa kununulia chanjo wLishauchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…