Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

Mkuu kwangu swala siyo vaccine. Far from that! Ukweli ni kwamba as a country we are still in denial (atleast viongozi wetu). tumeshindwa kuwekeza kwenye public sensitization..watu wanawe mikono..sanitizers, barakoa..na vitu vingine kama hivyo.

Hivi kweli swala la kunawa mikono na kuvaa barakoa lina uhusiano gani na mabeberu? Kwanza kunawa mikono ingetusaidia hata kupambana na magonjwa kama kipindupindu na mengineyo yanayowaonea masikini!

Its really pathetic tunashindwa kuchukua hatua za vitu vidogo vidogo kama hivi…...Labda sasa viongozi wanaanza kutwaliwa..wahusika watabadilisha misimamo.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti ugonjwa umshinde mzungu auweze mzaramo wa kisarawe
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.

Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.

Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?

Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe (za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.

Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
 
Wapinzani hawaoni ajabu kufa, maana wasipokufa kwa corona watauliwa na watawala ili wakae madarakani kwa shuruti. Tunaomba corona itusaidie kuvuna hawa wezi wa kura.
Wekeza Kwa Mungu mkuu, kumejaa masamaha na furaha ya kudumu!!
Acha wapuuzi wapende vya duniani ambavyo si vya kudumu,

Njoo Kwa Yesu uokoke Leo, Furaha, msamaha na Amani zitakuwa fungu lako, na hutaogopa chochote hata mauti hutaiogopa
 
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.

Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.

Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?

Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe (za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.

Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.
UKIWA VITANI USICHAGUE SILAHA
 
Israel ndiyo nchi pekee ambayo 1/2 ya raia wake wameshapata chanjo hasa ma kundi hatari na idadi ya vifo imepungua sana.
Mimi niliomba waruhusu ziletwe, wawaulize wananchi nani yuko tayari kuchanjwa na nani hayuko tayari, ungeona Kama Mawaziri wasingekuwa No.1. Mbona ya Madagascar walikunywa peke yao?
 
Ha ha ha mkuu umemnanga kweli, kwani nyungu saa hizi haisaidii kbs!?

Ila pamoja na hayo huu ugonjwa wa sasa hivi siyo masihara aisee na watu wengi wanauchukulia easy tu unapanda daladala hawana mask hawajali kbs mpk unajiuliza hawa watu wana shida gani yaani wao mpk waambiwe mvae mask ndiyo utawaona wanavaa ila mimi sijali sanitizer mfukoni mask usoni nyungu malimao tangawizi na maombi sisubirii tamko la yeyote afya yangu ni jukumu langu na si la yeyote.
ZA KUAMBIWA UMECHANGANYA NA ZAKO
 
Mimi niliomba waruhusu ziletwe, wawaulize wananchi nani yuko tayari kuchanjwa na nani hayuko tayari, ungeona Kama Mawaziri wasingekuwa No.1. Mbona ya Madagascar walikunywa peke yao?
Usishangae kuwa mkopo wa kununulia chanjo wLishauchukua.
 
Back
Top Bottom