Waziri Jafo, siku nyingine uache kiherehere cha kufananisha Siasa na uweledi wa tiba za Kisayansi

Halafu kuna watu wanampendekeza Jaffo kuwa rais ajaye.[emoji31]
Akiupata wote tutafia kwa wachawi wa Mkuranga .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kinachoniuma hata walioamua kuchukua tahadhari waliwatweza kwa mamlaka yao.

Ulikua ukisogea anga za Magufuli na barakoa unaamriwa kuivua daah!
Ni wakati wa kumuadhibu yule mkurugenzi aliye waamuru madiwani wavue barakoa kwenye mkutano. Kilangila.
 
Asante...na wanasayansi walisema, ila binadamu bana...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…