Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Du balaa tupuSi watakua hawajapata full doze... si wanatakiwa kurudia ama sivyo...[emoji23][emoji23][emoji23] au ukute wazee walikuja na fekero...[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du balaa tupuSi watakua hawajapata full doze... si wanatakiwa kurudia ama sivyo...[emoji23][emoji23][emoji23] au ukute wazee walikuja na fekero...[emoji23][emoji23][emoji23]
Angekuwa na ile Jinsia nyingine sijui angekuwaje.Siyo mizaha tu, anapenda sana kujipendekeza.
Wenzio wanakuja na vifaru wewe unakuja na GoboleUKIWA VITANI USICHAGUE SILAHA
Umemaliza kila Kitu Ndugu na siongezei chochote tena.Yupo kama mwanamke malaya
Rais wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jafo anapenda sana mizaha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Halafu kuna watu wanampendekeza Jaffo kuwa rais ajaye.[emoji31]
Akiupata wote tutafia kwa wachawi wa Mkuranga .
Ni wakati wa kumuadhibu yule mkurugenzi aliye waamuru madiwani wavue barakoa kwenye mkutano. Kilangila.Kinachoniuma hata walioamua kuchukua tahadhari waliwatweza kwa mamlaka yao.
Ulikua ukisogea anga za Magufuli na barakoa unaamriwa kuivua daah!
Anafanya kinachompendeza yule aliyemteua. Kilangila.Jafo anapenda sana mizaha!
Mzaha kwenye maisha ya watu? kama anapenda mizaha amlete mamsabu wake amfanyie mzaha mbele ya kadamnasi, hapo tutaona anapenda mzaha kweli.Jafo anapenda sana mizaha!
Ndoto za urais asahahu.Wale wote wanao mislead watanzania wanatakiwa wafungwe kwa kusababisha vifo!
Asante...na wanasayansi walisema, ila binadamu bana...welevu ndo wanao jua hili,bahati mbaya humu jf ni wachache sana.hawajui mpaka sasa chanjo zote bado ni trial & error.Hakuna chanjo ambayo imewahi kutengenezwa kwa muda wa miez ishirini ikawa na ufanisi!!! Kisayansi chanjo yenye ufanisi huchukua Hadi miez 60 kuitafiti.ndio maana hiz sijui Astra zenecca bado zina malalamiko mengi.mzazi mwelevu hawez kuiweka familia yake rehani kwa majaribio.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two.
Haya sasa hii Nyungu Season Two yako ndiyo inatufyeka kweli kweli na Safari hii ikipiga huko huko juu mliko na muda si mrefu itamgusa Namba 1, 2 au 3 ndipo mtatia Akili.
Na kama kweli nawe unaamini Nyungu yako mbona unaingia Ofisini Kwako kwa Machale huku muda mwingi ukiwa na wasiwasi wa Kupata Corona?
Na usijisahaulishe tafadhali kuna Watu ulikuwa nao Juzi na nyepe nyepe (za chini ) zinasema Mmoja wao sasa Kaburi analiona kwa mbali huku Mochwari ikimkaribisha.
Yaani Ugonjwa umshinde Mzungu halafu Mzaramo wa Kisarawe auweze? Kuna Watu mna Upuuzi kweli kweli Vichwani mwenu. Haya njoo sasa na Nyungu Season Three yako ili uondoke nayo vizuri.