Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

Kama ningekuwa Rais wa hii nchi siku ya kwanza tu naingia ofisini NAVUNJA MUUNGANO haraka sana bila kupepesa macho.

MUUNGANO ni zimwi linaloimaliza TANGANYIKA. probably Tanganyika ingweza kuwa SUPERPOWER Hapa Afrika kitambo ila kwakua tunabeba matatizo ya kikundi Fulani Cha watu wavivu kufikiri wasio na akili wagandamiza visogo viwe vya duara Ili wavaa baraghashia vizuri. Basi tumestuck hapa hapa.

Just imagine tu KIZIMKAZI hataki kukaa magogoni Wala chamwino Yuko zake TUNGUU. anakuja zake kwenye tukio kisha anarudi zake TUNGUU.

Yaani ningekuwa Rais Wale wakojani sijui na akina nani ningewapa FRESH YA SHAMBA hadi waukumbe MUUNGANO. Ningekata huduma zote wanazopata direct kutoka huku hasa pale TANESCO na zinginezo.

Baada kuunja huo MUUNGANO ningejiuzulu urais kwa MUJIBU wa katiba na kugombea Sasa Huku TANGANYIKA nikiliendeleza libeneke!!!

Hakuna haha ya kubebena na wasiotaka kubwa wabwageni tu.

Wana bahati sio Rais probably sitokuja kuwa Rais.Ole wao NIOTESHWE KUWA RAIS.
 
Uko vizuri mkuu. Aina hii ya muungano haipo mahali popote duniani. Namkumbuka Mbunge Charles Kashemeza Kabuye (RIP) alipendekeza Zanzibar iwe mkoa wa 21(wakati Ile) na Dr. Salmon Amour awe mkuu wa mkoa. Namkumbuka wabunge wa Zanzibar walitaka kummeza!! Ipo siku akili ikitukaa sawa tutaukubali ushauri wake! Keep za muungano kuzimaliza ni ngumu. Au nasema uongo ndugu zangu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
United Kingdom
 
Wacheni uzwazwazwa ivi yule wazili aliehubirli kwenye madhubahu na kusema Zanzibar lazima izibitiwe kwa kuwa wageni wanahingia kutumia bandali bubu na wanaweza wale mujaidina kupitia huko alikuwa anawazimu ,sasa watu wakisema kuingia na kutoka Zanzibar zitumike pasipoti kama zamani hamuoni kuwa anaunga mawazo finyu ya Waziri Yule.
 
Wanashindwa kuwaambia kuwa MNAWATAWALA KUPITIA CCM.
Chama chao siku zote wapo against na utawala wa CCM.

Kiufupi Tanganyika ni mkoloni,wanahitaji uhuru wao,sema wanaogopa kusema hadhalani yamkini.

Kidogo kidogo watakazia Uzi.
Tujiulize,mbona kwao hawasisitizi muungano ila kwetu ndo wimbo wa Taifa.

Kuna nn?.

N.B najaribu kuwaza tu,Kwa kauli ya huyo mheshimiwa.
Kwa maana hakuna amelewa🙄🤔
 
1713959134946.png
 
Yaani huo ukanda huo lazima utaludi Zanzibar kwanza itaanzishwa kampeni ya nguvu ili wakazi wa mikoa hio wadai kuludi kwao,tuseme ule msemo wa Chama changu Cha CCM kuludi nyumbani.
Aafu ukiangalia inawezekana wana haki ya kuludi nyumbani.
 
Zanzibar ilipaswa iwe mkoa kama mikoa mingine au la sivyo ilipaswa iwe nchi huru. Hii drama inayoendelea hapa ni ya kujitakia.
 
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma.

Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa majumuisho ya jumla kuhusu hoja za Wabunge zilizotokana na mjadala wa bajeti ya wizara hiyo.

“Kaka yangu pale alipozungumza kwamba, kwa nini watu wasiingie na pasipoti Zanzibar, nikasema aah! kaka wazo zuri lakini unataka kuturudisha nyuma.”

“Katika mchakato huu Serikali ya awamu ya pili chini ya hayati Mzee Mwinyi (Ali Hassan Mwinyi) wakati kule Serikali iliyokuwa chini ya Rais Dk Salmin Amour, kipindi kile walikuwa wanajadili, jambo hili lilitoka kipindi hicho likaonekana linaleta usumbufu,” amesema Dk Jafo.

“Hivi mtu leo mtani wangu Gwajima (mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima) atoke Kawe akienda kule Zanzibar atafute pasipoti, tutarudi nyuma sana, na hii si makusudio ya Muungano wetu,” amesema.

Hoja ya kurejesha pasipoti Zanzibar ilitolewa na mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa aliyesema Rais wa kwanza hayati Mwalimu Julius Nyerere alikuwa ana akili sana na kwamba haamini kama alizidiwa maarifa na Rais Sheikh Abeid Amani Karume kwa kusema Zanzibar watu waingie kwa utaratibu.
Ktk watu CCM haiwahitajibni hilo jinga.
 
Hili ni shoga tena liondoke km halijashughulikiwa
 
Wazenji kizazi cha watumwa na wamanga koko huwa wanajiona sijui kina nani vile...
 
Pongezi ziende Kwa Marehemu Mtikila aligoma kutii masharti kuwa chama Cha Sasa ili kisajiliwe kinatakiwa kuwa na wanachama pande zote mbili za muugano ikiwemo Zanzibar.Wakati huo kwenda Zanzibar ilikuwa watu wanaenda na passport.Akasema hiyo ni sawa na kwenda kusajili raia wa nchi nyingine kuwa wanachama wa chama Cha Sasa Cha nchi ingine.Akagoma kuwa siwezi beba passport kwenda nchi nyingine kutafuta wanachama na akatishia kuburuza Serikali mahakamani wafute Hilo sharti.Passporrt zikafutwa .Sharti la kuwa na wanachama pande zote likabaki
Abarikiwe Sana, na apumzike kwa amani
 
Suala la Muungano wetu kuvunjika halikwepeki. Tunalichelewesha tu kutokea. Ni vyema tukauvunja mapema tukiwa kwenye terms nzuri. Tusije huku mbele tukauvunja kwa vita.
 
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma.

Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa majumuisho ya jumla kuhusu hoja za Wabunge zilizotokana na mjadala wa bajeti ya wizara hiyo.

“Kaka yangu pale alipozungumza kwamba, kwa nini watu wasiingie na pasipoti Zanzibar, nikasema aah! kaka wazo zuri lakini unataka kuturudisha nyuma.”

“Katika mchakato huu Serikali ya awamu ya pili chini ya hayati Mzee Mwinyi (Ali Hassan Mwinyi) wakati kule Serikali iliyokuwa chini ya Rais Dk Salmin Amour, kipindi kile walikuwa wanajadili, jambo hili lilitoka kipindi hicho likaonekana linaleta usumbufu,” amesema Dk Jafo.

“Hivi mtu leo mtani wangu Gwajima (mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima) atoke Kawe akienda kule Zanzibar atafute pasipoti, tutarudi nyuma sana, na hii si makusudio ya Muungano wetu,” amesema.

Hoja ya kurejesha pasipoti Zanzibar ilitolewa na mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa aliyesema Rais wa kwanza hayati Mwalimu Julius Nyerere alikuwa ana akili sana na kwamba haamini kama alizidiwa maarifa na Rais Sheikh Abeid Amani Karume kwa kusema Zanzibar watu waingie kwa utaratibu.

=======================

Minister Dr. Selemani Jafo said that the proposal to reinstate the requirement for mainland Tanzanians to enter Zanzibar with a passport would be a step backward. He mentioned that during the second phase of the government, under the late President Ali Mwinyi, this issue was discussed and it was deemed to be troublesome. Jafo emphasized that this would cause significant setbacks and is not in line with the spirit of our Union.
Kwanza tuanze na swali la msingi, Tanzania bara ni nchi yenye passport tofauti ni nchi ya Zbar anatoka mbunge huyo?

Zbar wana mfumo wao wa uhamiaji ili Mtanganyika akifika agongewe passport na kueleza dhumuni la safari yake?

Ingetokea tukawataka Wazibari wanakuja huku nao wawe na passport ili kukidhi "law of reciprocity" je, pangetosha kweli?

Huyu mbunge, uwezo wake wa kufikiri, anafikiri kwenda mbele kujenga au kuboa pale palipojengwa?

Ingetokea Wanganyika wakawa ma-DC kule Zenji kama ambavyo baadhi ya ma-DC wanashika nafasi huku Tanganyika, wazenji wangetulia kweli?

Muungano huu, tuko na sababu kuitikia maoni ya Justice Kisanga, Justice Warioba ya umuhimu wa serikali 3
 
Hii ishu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na mke na mume.., yaani mke chake ni chake lakini cha mme ni cha wote!! inashangaza sana.
🤣 🤣 🤣
 
Wazenji wabinafsi hatari. Huu muungano bora ufutwe zenji iwe mkoa wa Tanganyika.
Haka ka zenji katakuja kuwa kama Taiwan!
Kanatunyanyasa sana na kutupelekesha kama mchepuko mwembamba na mke mkubwa bonge!
 
Back
Top Bottom