Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

Kuliwezesha hilo lazima kwanza uondoe status ya uzanzibar kwa wananchi ndani ya Zanzibar.

Watu wote wajione ni watanzania na siyo wazanzibar inawezekana lakini kwa miaka mingi sana.
Yale yale ya wao Wazanzibari bali sisi ni Watanganyika. Wao wana Serikali Sisi hatuna!
 
Back
Top Bottom