Kwanza tuanze na swali la msingi, Tanzania bara ni nchi yenye passport tofauti ni nchi ya Zbar anatoka mbunge huyo?
Zbar wana mfumo wao wa uhamiaji ili Mtanganyika akifika agongewe passport na kueleza dhumuni la safari yake?
Ingetokea tukawataka Wazibari wanakuja huku nao wawe na passport ili kukidhi "law of reciprocity" je, pangetosha kweli?
Huyu mbunge, uwezo wake wa kufikiri, anafikiri kwenda mbele kujenga au kuboa pale palipojengwa?
Ingetokea Wanganyika wakawa ma-DC kule Zenji kama ambavyo baadhi ya ma-DC wanashika nafasi huku Tanganyika, wazenji wangetulia kweli?
Muungano huu, tuko na sababu kuitikia maoni ya Justice Kisanga, Justice Warioba ya umuhimu wa serikali 3