Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

Kama ningekuwa Rais wa hii nchi siku ya kwanza tu naingia ofisini NAVUNJA MUUNGANO haraka sana bila kupepesa macho.

MUUNGANO ni zimwi linaloimaliza TANGANYIKA. probably Tanganyika ingweza kuwa SUPERPOWER Hapa Afrika kitambo ila kwakua tunabeba matatizo ya kikundi Fulani Cha watu wavivu kufikiri wasio na akili wagandamiza visogo viwe vya duara Ili wavaa baraghashia vizuri. Basi tumestuck hapa hapa.

Just imagine tu KIZIMKAZI hataki kukaa magogoni Wala chamwino Yuko zake TUNGUU. anakuja zake kwenye tukio kisha anarudi zake TUNGUU.

Yaani ningekuwa Rais Wale wakojani sijui na akina nani ningewapa FRESH YA SHAMBA hadi waukumbe MUUNGANO. Ningekata huduma zote wanazopata direct kutoka huku hasa pale TANESCO na zinginezo.

Baada kuunja huo MUUNGANO ningejiuzulu urais kwa MUJIBU wa katiba na kugombea Sasa Huku TANGANYIKA nikiliendeleza libeneke!!!

Hakuna haha ya kubebena na wasiotaka kubwa wabwageni tu.

Wana bahati sio Rais probably sitokuja kuwa Rais.Ole wao NIOTESHWE KUWA RAIS.
 
United Kingdom
 
Wacheni uzwazwazwa ivi yule wazili aliehubirli kwenye madhubahu na kusema Zanzibar lazima izibitiwe kwa kuwa wageni wanahingia kutumia bandali bubu na wanaweza wale mujaidina kupitia huko alikuwa anawazimu ,sasa watu wakisema kuingia na kutoka Zanzibar zitumike pasipoti kama zamani hamuoni kuwa anaunga mawazo finyu ya Waziri Yule.
 
Wanashindwa kuwaambia kuwa MNAWATAWALA KUPITIA CCM.
Chama chao siku zote wapo against na utawala wa CCM.




Kiufupi Tanganyika ni mkoloni,wanahitaji uhuru wao,sema wanaogopa kusema hadhalani yamkini.

Kidogo kidogo watakazia Uzi.
Tujiulize,mbona kwao hawasisitizi muungano ila kwetu ndo wimbo wa Taifa.

Kuna nn?.

N.B najaribu kuwaza tu,Kwa kauli ya huyo mheshimiwa.
Kwa maana hakuna amelewa🙄🤔
 
Yaani huo ukanda huo lazima utaludi Zanzibar kwanza itaanzishwa kampeni ya nguvu ili wakazi wa mikoa hio wadai kuludi kwao,tuseme ule msemo wa Chama changu Cha CCM kuludi nyumbani.
Aafu ukiangalia inawezekana wana haki ya kuludi nyumbani.
 
Zanzibar ilipaswa iwe mkoa kama mikoa mingine au la sivyo ilipaswa iwe nchi huru. Hii drama inayoendelea hapa ni ya kujitakia.
 
Ktk watu CCM haiwahitajibni hilo jinga.
 
Hili ni shoga tena liondoke km halijashughulikiwa
 
Wazenji kizazi cha watumwa na wamanga koko huwa wanajiona sijui kina nani vile...
 
Abarikiwe Sana, na apumzike kwa amani
 
Suala la Muungano wetu kuvunjika halikwepeki. Tunalichelewesha tu kutokea. Ni vyema tukauvunja mapema tukiwa kwenye terms nzuri. Tusije huku mbele tukauvunja kwa vita.
 
Kwanza tuanze na swali la msingi, Tanzania bara ni nchi yenye passport tofauti ni nchi ya Zbar anatoka mbunge huyo?

Zbar wana mfumo wao wa uhamiaji ili Mtanganyika akifika agongewe passport na kueleza dhumuni la safari yake?

Ingetokea tukawataka Wazibari wanakuja huku nao wawe na passport ili kukidhi "law of reciprocity" je, pangetosha kweli?

Huyu mbunge, uwezo wake wa kufikiri, anafikiri kwenda mbele kujenga au kuboa pale palipojengwa?

Ingetokea Wanganyika wakawa ma-DC kule Zenji kama ambavyo baadhi ya ma-DC wanashika nafasi huku Tanganyika, wazenji wangetulia kweli?

Muungano huu, tuko na sababu kuitikia maoni ya Justice Kisanga, Justice Warioba ya umuhimu wa serikali 3
 
Hii ishu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni sawa na mke na mume.., yaani mke chake ni chake lakini cha mme ni cha wote!! inashangaza sana.
🤣 🤣 🤣
 
Wazenji wabinafsi hatari. Huu muungano bora ufutwe zenji iwe mkoa wa Tanganyika.
Haka ka zenji katakuja kuwa kama Taiwan!
Kanatunyanyasa sana na kutupelekesha kama mchepuko mwembamba na mke mkubwa bonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…