G Gmarra JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 456 Reaction score 427 May 16, 2024 #61 The Monk said: Mkuu hapa tunaongelea ndoa, unafikiri mchezo ukautafute mchanga uuchambue wa Tanganyika na Zanzibar uutenganishe? Click to expand... Mchanga ulisharidishwa na kibunga Hidaya. Kwa hivyo hakuna shida,
The Monk said: Mkuu hapa tunaongelea ndoa, unafikiri mchezo ukautafute mchanga uuchambue wa Tanganyika na Zanzibar uutenganishe? Click to expand... Mchanga ulisharidishwa na kibunga Hidaya. Kwa hivyo hakuna shida,
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 May 16, 2024 #62 Gmarra said: Mchanga ulisharidishwa na kibunga Hidaya. Kwa hivyo hakuna shida, Click to expand... Hidaya alizidi kuuimarisha Muungano. Kauchanganya na kuuvuruga zaidi mchanga.
Gmarra said: Mchanga ulisharidishwa na kibunga Hidaya. Kwa hivyo hakuna shida, Click to expand... Hidaya alizidi kuuimarisha Muungano. Kauchanganya na kuuvuruga zaidi mchanga.
K KUTATABHETAKULE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,159 Reaction score 5,070 May 16, 2024 #63 Al Watani said: Kuliwezesha hilo lazima kwanza uondoe status ya uzanzibar kwa wananchi ndani ya Zanzibar. Watu wote wajione ni watanzania na siyo wazanzibar inawezekana lakini kwa miaka mingi sana. Click to expand... Yale yale ya wao Wazanzibari bali sisi ni Watanganyika. Wao wana Serikali Sisi hatuna!
Al Watani said: Kuliwezesha hilo lazima kwanza uondoe status ya uzanzibar kwa wananchi ndani ya Zanzibar. Watu wote wajione ni watanzania na siyo wazanzibar inawezekana lakini kwa miaka mingi sana. Click to expand... Yale yale ya wao Wazanzibari bali sisi ni Watanganyika. Wao wana Serikali Sisi hatuna!