Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nimecheka kwa nguvu kinoma. Eti viwanda elfu 30, yaani vingi kuliko China.
 
Kwani viwanja haviajiri HR? Haviajiri watu wa mazingira? Haviajiri wahasibu? Au unadhani ni watu wa vocational education tu wanaoajiriwa viwandani?

Kuwa na akili japo kidogo tu!

Pimaga hata taarifa kabla ya kuileta humu.
Ni utapeli tu hakuna hata kiwanda kimoja
 

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1897354617908015117?t=gKyGcER2N9b6bEEKPbtJqg&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ