Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Orodha ya viwanda 30,000 ni wastani wa viwanda 1000 kila mkoa au 150 kila wilaya.
Sasa kila wilaya iweke hapa orodha ya viwanda vilivyoanzishwa na Samia na nyingine ya Magufuli. Sababu ma magufuli nae alianzisha viwanda 80,000. Ili kutofautisha wekeni column ya mwaka kiwanda kilipoanzishwa plus ajira zilizoanzishwa.
Wataalamu wa Excell wekeni template hapa kazi ianze
 
Siasa ndio nini? Kwani Kuna awamu imewahi kuvutia uwekezaji mkubwa kama awamu ya 6 katika historia ya 🇹🇿?
Huyu bibi kwa kumpa sifa asizostahili hamjambo,
By the way ccm kwa propaganda mko vzr sana, yaani kwenu kila awamu iliyopo (ya sasa) ni nzuri zaidi kuliko awamu iliyopita...hata awamu ya Jiwe chai zilikuwa ni hizo hizo tuu hahahhaaa
 
Back
Top Bottom