Ukiwa na Cherehani 4 ni kiwandaNadhani serikali itoe maana halisi ya viwanda.
Vinazalisha energy, na visungura labda. Hivi viwanda 30,000 vinazalisha bidhaa gani au ni kauli ile ukiwa na cherehani 3 basi ni kiwandaAwamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Samia anafanya vitu vikubwa sana na hana muda wa kutamba hadharani anaacha watu wajionee wenyewe.Kwa Samia cherehani Wala karakana za uchomeleaji sio viwanda Bali viwanda vya ukweli kama hivi π π
View: https://www.instagram.com/reel/DFvad7kN1Mp/?igsh=MXFuMjd5MW42MDhmcA==
Tumia akili umeambiwa kuanzia 2021 Hadi SasaMagufuli hakujenga? Au ndiyo kumpa mama yenu sifa za kitoto ili awape ugali.
Jibu swali - Magufuli alijenga vingapi? Afu msivyo na aibu eti Bwawa la Nyerere, SGR, Daraja la Busisi mnasema juhudi za mama yenu...looohTumia akili umeambiwa kuanzia 2021 Hadi Sasa
Kaulize mashabiki wa Magufuli unaniuliza Mimi kwani umewahi niona namkubali Mwendazake?Jibu swali - Magufuli alijenga vingapi? Afu msivyo na aibu eti Bwawa la Nyerere, SGR, Daraja la Busisi mnasema juhudi za mama yenu...loooh
We don't need those tanks wenee an investoe who will build LNG Plant at Mtwara
Uko out of touch,Mama anajenga Lindi https://www.reuters.com/business/en...onclude-talks-lng-project-by-june-2025-02-11/We don't need those tanks wenee an investoe who will build LNG Plant at Mtwara
Manufacturing plant, processing plant, production plant.Wewe kiwanda unaelewaje? ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_0XpmeIRUx/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Ajabu Iko wapi Sasa?Manufacturing plant, processing plant, production plant.
30,000 plants constructed in 4 years? In this very Tanzania?
Honestly speaking, we donβt need this crap here!
Hizi porojo duni ziishie kwenye majukwaa ya siasa na vikao vya machawa.
Kwa kweliViwanda elfu30 sijui vinajengwa kwa shetani ndiomaana hatuvioni wakati kwa idadi hiyo mikoa yote Tanzania isingekosa viwanda hata vitano.
Viwanda elfu30 sijui vinajengwa kwa shetani ndiomaana hatuvioni wakati kwa idadi hiyo mikoa yote Tanzania isingekosa viwanda hata vitano.
Kwa Magu vilijengwa vingapi?Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Waulize Wafuasi wake,mtu aliyea wafanyabiashara na kukimbiza wawekezaji unategemea kutakuwa na viwanda? ππKwa Magu vilijengwa vingapi?
Hata shughuli za mamantilie wanaopika vitumbua navyo ni viwanda. Hata shughuli za wale wanatengeneza keki za harusi, birthday, graduation and so on, navyo ni viwanda!Unajua maana ya viwanda 30,000 wewe?
Vingejengwa 500 tu usingesikia kelele za vijana wasio na ajira!
Acheni propaganda za kijinga!