Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani viwanja haviajiri HR? Haviajiri watu wa mazingira? Haviajiri wahasibu? Au unadhani ni watu wa vocational education tu wanaoajiriwa viwandani?

Kuwa na akili japo kidogo tu!

Pimaga hata taarifa kabla ya kuileta humu.
AI na robots hazihitaji hizo HR zako ,punguza ujinga
 
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==

Kwa dhana ya maccm, Vyerehani 4 ni kiwanda. Kwa hiyo maccm wamenunua vyerehani 120 kwa muda wa miaka mitatu.

Tutafika tukiwa tumechoka sana.

Vyerh
 
Nani alikidanganya? By the way kwani cherehani ni nini?
 
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==

Ni kweli ukiwa na Vyerehani vinne tu ni kiwanda.

Nina viwanda vitatu kwangu.

Masufuria matatu ya kupika supu, meza tatu na majiko yale ya chuma.
 
Tuwekee takwimu za viwanda vya Japan kabla ya kuropoka na kumjaza ujinga wako huyo kiazi mwenzio
Mimi siweki twakimu za Google mzee..
Kila siku nawaambiq vijana wengine tulikuwa mbele ya muda
Mabaharia tumezunguka tumejionea....hakuna wa kutubabaisha,jambo ukiliona unaona siyo geni kwako

Ova
 
Weka hapa takwimu Wacha ujinga
345.png
 
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==

Viwanda 30,000!!
Hapo kila kiwanda kikiajiri watu 50 tu ni sawa na ajira 1,500,000.
Hapana, nampenda sana Mama. Ila kwa uchawa wa namna hii huwa naona kabisa mkiharibia kwa kweli
 
Wewe unaona watu 1.5mln ni wengi sana muajiriwa au? Labour force ya Nchi unajua ni watu wangapi qanaingia kwenye Ajira Kila mwaka?
 
Back
Top Bottom