Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AI na robots hazihitaji hizo HR zako ,punguza ujingaKwani viwanja haviajiri HR? Haviajiri watu wa mazingira? Haviajiri wahasibu? Au unadhani ni watu wa vocational education tu wanaoajiriwa viwandani?
Kuwa na akili japo kidogo tu!
Pimaga hata taarifa kabla ya kuileta humu.
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Aliyekwambia kwamba viwanda pekee vinakuja kufuta tatizo la Ajira ni nani?Naona hata tatizo la Ajira limekwisha!
Nani alikidanganya? By the way kwani cherehani ni nini?Kwa dhana ya maccm, Vyerehani 4 ni kiwanda. Kwa hiyo maccm wamenunua vyerehani 120 kwa muda wa miaka mitatu.
Tutafika tukiwa tumechoka sana.
Vyerh
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Tuwekee takwimu za viwanda vya Japan kabla ya kuropoka na kumjaza ujinga wako huyo kiazi mwenzio.😄 Japan tu hana
Labda viwanda vya machawa na wakata mauno
Ova
Kwani Kuna ubaya au tatizo lolote?Ni kweli ukiwa na Vyerehani vinne tu ni kiwanda.
Nina viwanda vitatu kwangu.
Masufuria matatu ya kupika supu, meza tatu na majiko yale ya chuma.
Ni kweli ukiwa na Vyerehani vinne tu ni kiwanda.
Nina viwanda vitatu kwangu.
Masufuria matatu ya kupika supu, meza tatu na majiko yale ya chuma.
Mimi siweki twakimu za Google mzee..Tuwekee takwimu za viwanda vya Japan kabla ya kuropoka na kumjaza ujinga wako huyo kiazi mwenzio
Weka hapa takwimu Wacha ujingaMimi siweki twakimu za Google mzee..
Kila siku nawaambiq vijana wengine tulikuwa mbele ya muda
Mabaharia tumezunguka tumejionea....hakuna wa kutubabaisha,jambo ukiliona unaona siyo geni kwako
Ova
Sasa hivyo viwanda vya wachina mwandege nk wenzako tusha supply sana feldsper makachacha,mawe kwa ajili ya tiles....nao nawaona wababaishaji tuWeka hapa takwimu Wacha ujinga View attachment 3254735
Ukiacha cha Wachina,Cha kwako Kiko wapi? 😁😁👇👇Sasa hivyo viwanda vya wachina mwandege nk wenzako tusha supply sana feldsper makachacha,mawe kwa ajili ya tiles....nao nawaona wababaishaji tu
Ova
Ukiacha cha Wachina,Cha kwako Kiko wapi? 😁😁👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C-qVCiqNJc4/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Si mnasema ni vyerehani Sasa nawapa kimoja baada ya kingine 👇👇Ohoo
Ova
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DGlUKyzNpXW/?igsh=MXVpeW5odDltM3N5eg==
Kiwanda sio matako kwamba Kila mtu anacho.Viwanda Wanavyosema Watanzania Ambao Wapo Eneo Hilo Hawaoni Chochote
Upuuzi Mtupu
Tatizo lipo boss, pamoja na vyerehani vyote, 120, bado tunaagiza boxers china. Na ajira ni 480 tu.Kwani Kuna ubaya au tatizo lolote?
Wewe unaona watu 1.5mln ni wengi sana muajiriwa au? Labour force ya Nchi unajua ni watu wangapi qanaingia kwenye Ajira Kila mwaka?Viwanda 30,000!!
Hapo kila kiwanda kikiajiri watu 50 tu ni sawa na ajira 1,500,000.
Hapana, nampenda sana Mama. Ila kwa uchawa wa namna hii huwa naona kabisa mkiharibia kwa kweli