Mbona unatokwa povu bila sababu? Wewe ulitaka agawe uroda ili ulidhike? Acha chuki za kishetani. Utakufa siku si zako ndugu.Huyu ni muuza sura, akili yake iliosimama kwenye mambo madogo madogo mepesi.
Nisingeshangaa kama asingegawa Fagio za Ndani Kwa wamama wa CCM.
Hata Ivo, kumlea na mnavyomdekeza kumpa kiburi
Unagawa Mtungi wa Gas, eeeh. Vipi hiyo Gas kuijaza gharama yake ikoje Sasa ??
Nikiwauliza mtasema "Vita ya Ukraine".
Huu ni ujuha na uzumbukuku.
Kwani kuna ubaya ktk Hilo? Kama babako hajitokezi acha wenye uthubutu wajitokeze.Mdogo mdogo anaanza kutafta connection za uraisi ... E
Amegawa au ameahidi!!???Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Amegawa kama man? Mwbieni kampeni bado Sana.Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Ikiisha atawajazia gesi?Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Wajinga wajinga kama wewe ndo mnasumbua hii nchi! Waziri anafanya uhuuni, TANESCO maombi 72,500 tangu January hawana nguzo, wala mita,Kwani kuna ubaya ktk Hilo? Kama babako hajitokezi acha wenye uthubutu wajitokeze.
Go on Makamba!
Kwahiyo hiyo mitunhi ndiyo ulitaka iunganishie wateja umeme?Wajinga wajinga kama wewe ndo mnasumbua hii nchi! Waziri anafanya uhuuni, TANESCO maombi 72,500 tangu January hawana nguzo, wala mita,
Yeye analeta mitungi ya gesi, wewe unasapoti, baghidadii
Huwa najuaga una akiliMbona unatokwa povu bila sababu? Wewe ulitaka agawe uroda ili ulidhike? Acha chuki za kishetani. Utakufa siku si zako ndugu.
Bi kweli kabisa umeamua kutokua na akili?Kwahiyo hiyo mitunhi ndiyo ulitaka iunganishie wateja umeme?