Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.

CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
 
Huyu ni muuza sura, akili yake iliosimama kwenye mambo madogo madogo mepesi.

Nisingeshangaa kama asingegawa Fagio za Ndani Kwa wamama wa CCM.

Hata Ivo, kumlea na mnavyomdekeza kumpa kiburi

Unagawa Mtungi wa Gas, eeeh. Vipi hiyo Gas kuijaza gharama yake ikoje Sasa ??

Nikiwauliza mtasema "Vita ya Ukraine".

Huu ni ujuha na uzumbukuku.
 
Mbona unatokwa povu bila sababu? Wewe ulitaka agawe uroda ili ulidhike? Acha chuki za kishetani. Utakufa siku si zako ndugu.
 
Aache kuzurura atatue shida ya umeme!! Kuna migao isiyo rasmi ya umeme inaendelea!!
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.

CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Amegawa au ameahidi!!???
 
Amegawa kama man? Mwbieni kampeni bado Sana.
 
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.

CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Ikiisha atawajazia gesi?
 
Huyu mhuni hajali watu,umeme kila siku unakata hapa Tabora kila siku saa kumi, mpaka saa 1.
Alafu mbona kaanza kampeni mapema hivi?
 
Waziri hacha utoto!
TANESCO, hawana nguzo, hawana mita, takribani maombi 72,800 nchi nzima yamekwama tangu mwezi January 2022, no new connection.

Waziri wa wizara husika ana tafuta kiki kuwa mitungi ya gesi! Huu ni uhuuni kama uhuuni mwingine!

Watu tunataabika tangu mwezi January tumelipia kuunganishiwa umeme hadi leo mwezi July tunasota hakuna mita, hakuna nguzo..pesa zetu wanazo! Na wanaendelea kukusanya.
Ebu waziri ahache kufanya mambo ya kitoto
 
Kwani kuna ubaya ktk Hilo? Kama babako hajitokezi acha wenye uthubutu wajitokeze.

Go on Makamba!
Wajinga wajinga kama wewe ndo mnasumbua hii nchi! Waziri anafanya uhuuni, TANESCO maombi 72,500 tangu January hawana nguzo, wala mita,
Yeye analeta mitungi ya gesi, wewe unasapoti, baghidadii
 
Makamba acha utoto basi, yapo Mambo magumu yanayohitaji ufumbuzi kama mtu uliyeaminiwa na Raisi hebu yashughulikie. Vitu vingine waachie hata wajumbe wengine wanawwza kuvifanya
 
Wajinga wajinga kama wewe ndo mnasumbua hii nchi! Waziri anafanya uhuuni, TANESCO maombi 72,500 tangu January hawana nguzo, wala mita,
Yeye analeta mitungi ya gesi, wewe unasapoti, baghidadii
Kwahiyo hiyo mitunhi ndiyo ulitaka iunganishie wateja umeme?
 
Back
Top Bottom