Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

Hata akiulizwa nguzo zimeletwa ngapi mkoa ule hajui, nilishangaa eti waziri atazunguka mikoa 24 kuelimisha watu juu ya matumizi ya gesi, nikajiuliza maswali mengi sana sikupata jibu nikasema aacha nisubiri social media zinasemaje.
 
Wana CCM wanateem yao ambayo hufanya uchunguzi ni wapi upepo hausomeki ili wakajipendekeze mapema!

Na bado, Kanda ya ziwa itakula kila mtachowapelekea, ila kwenye kura msahau maccm

CCM hawategemei kura kukaa madarakani, dhalimu alidhibitisha hilo.
 
Hao wanawake wamepewa mitungi ya gesi kwa nia ovu, wakachome korodani za waume zao.
 
Electrical Engineer and Sales and Marketing Manager of Oil and Gas aThe knowledgeable Professor Janauary Makamba🤣🤣🤣
Nchi ngumu sana hii,yaani wewe unapewa cheo kinakuzidi uwezo simply Baba yako alikuwa mtu mkubwa serikalini.
 
Ukipewa Mtungi mdogo wa Gesi na burner yake hilo ni Jiko siyo mtungi tena

Alichogawa Waziri wa nishati Makamba kule Mara kwa Wakurya ni Majiko ya Gesi
 
Anavyogawa kutafuta umaarufu wa kisiasa atoe na elimu, siku si nyingi nyumba zitaungua huko na chanzo itakuwa hizo za kukaa na mitungi ya gas ndani.

Ata hivyo wacha afanye promotion ya kampuni ambako nae ana hisa zake.
 
Anavyogawa kutafuta umaarufu wa kisiasa atoe na elimu, siku si nyingi nyumba zitaungua huko na chanzo itakuwa hizo za kukaa na mitungi ya gas ndani.

Ata hivyo wacha afanye promotion ya kampuni ambako nae ana hisa zake.
Hahaha....... promo!

Kama Mo wa Makoro
 
Hiyo mitungi ni kampuni gani na kwanini iwe hiyo kampuni na si nyingine je waziri hana maslahi nayo na je haitaonekana serikali inaifanyia promo hiyo kampuni?
 
Uchache wa reply ktk Uzi huu na comment nyingi kumpinga kuliko kumsupport waziri ni Ishara kuwa WAZIRI huyu HAKUBALIKI Kwa wananchi.

Kila anapoandikwa, anazidisha chuki na kero Kwa wananchi.

Tumeshauri aondolewe mnapuuza, MTAZAMA naye.
 
Mbona unatokwa povu bila sababu? Wewe ulitaka agawe uroda ili ulidhike? Acha chuki za kishetani. Utakufa siku si zako ndugu.
Tumia akili bi mkubwa, unamgawia mwananchi wa hali ya chini mtungi wa gesi ili iweje? Unadhani huo mtungi uliomgawia ukiwa na gesi ikiisha hiyo gesi atajaza kwa pesa ipi kwa uchumi huu uliokaza hivi?
 
Hili lina shida, Waziri ametoa wapi hiyo mitungi jibu ni serikalini kama ni hivyo kwa nini amechagua wa ccm pekee hili halijakaa sana. Naona sarakasi za uchaguzi ujao zimeanza, katiba mpya itakuja kweli?
 
Wa CCM tu? Wa CDM/ CUF/ACT ni Wakenya????
 
It’s simply a sales promotion campaign ya kampuni inayouza hayo majiko yeye keshavuta mpunga kwenye account yake kuwafanyia kazi.

Kama ni sera ya serikali hiyo campaign ingefanywa na wizara ya afya au mazingira based on his argument na serikali ingetenga budget ya kununua hayo majiko.

Kama majiko yametolewa kama msaada na kampuni binafsi halafu baadae ianze kuyauza hiyo ni sales promotion tu.

Nchi zingine sasa hivi waziri anachunguzwa kama anapata financial gain, ana ubia au hiyo biashara ni ya rafiki yake. Likibainika moja wapo hana kazi nina uhakika ata kwenye ministerial code of conduct za Tanzania anachofanya akiruhusiwi kama waziri.

Kuna sababu nyingi ili genge la watu corrupt wanalilia uongozi wa ‘bi-tozo.
 
G
Gesi yenyewe ni Taifa gas yan drama na promo kwa mpigo
 
Tumia akili bi mkubwa, unamgawia mwananchi wa hali ya chini mtungi wa gesi ili iweje? Unadhani huo mtungi uliomgawia ukiwa na gesi ikiisha hiyo gesi atajaza kwa pesa ipi kwa uchumi huu uliokaza hivi?
Acha dharau kwa watanzania wenzako. Gharama nyingine za maisha unawasaidia wewe? Mbona mnatoa maneno ya kifedhuli kwa watanzania wenzenu kiasi hicho?

Aliyekwambia wewe ndiye wa hali ya juu kuliko wengine nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…