Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Sasa hapo Samia anaingiaje kwenye hoja za Msukuma.Huyo anajificha kwenye mbawa na Rais.wananchi wanataka yeye aondolewe hakuna mahala Msukuma kamtaja Samia.Dogo anachemsha.
 
Kwa nini lazima amtaje na Samia?. Kwa nini asijitetee yeye kama yeye?. Kwani msukuma amemsema na Samia?.

Kujikomba na kujipendekeza bado kunaendelea. Huyu hata apewe miaka 20 tusitegemee mabadiriko yoyote kutoka kwa Mr. Michongo kwenye hilo shirika zaidi ya upigaji.
 
Unawaza kwa kutumia makalio?? Watu wajinga kama nyie mlipaswa mnyongwe

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ujinga kabisa kwanini asijibu hoja ya umeme anakuja na swala la uwaziri na uraisi naye ni mweupe kichwani.
Hoja ijibiwe kisayansi wenye akili tunajua huyo msukuma amejibiwa, lkn akianza kutafuta cover ya rais kwa kuonyesha ameshambuliwa. Hana akili

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Chige ,napendekeza mwaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu, JF iwe jimbo la uchaguzi tupate mwakilishi kama wewe hivi ili akawanyooshe mawaziri na kuifanya serikali ifanye kazi inavyostahili.
 
Ndio tabia yake inaonekana ata alipovurugana na Magufuli kwenye sakata la audio clips. Akatupia picha akiwa na mzee Mwinyi wanacheka kama vile mzee wa watu ana support zile clips; mzee Mwinyi wacha amjie juu.
Maji yemekoregeka
 
Dikteta pamoja na mabaya yake mengi lakini kwenye umeme hapana aliweza sn
 

Kwaiyo iyo baioanuai ya selous ni muhimu kuliko huo umeme???? Kwaiyo wewe una akili kuliko waliofanya research nakuona huo mradi utatufaa watanzania???? Kwaiyo wewe ulikuwa na akili zakuona mbali kuliko huyo magufuli? Haya niambie wewe mwenye akili ni nini umefanya cha kwako kwakulisaidia taifa?.....

Alafu wewe utakuwa ndo makamba yani tuache bwawa la nyerere tutumie umeme wa gesi kweli akili yako ipo Sawa Sawa wewe??? Gesi na maji kipi ni gharama kwa wananchi? Sometimes ni bora kukaa kimya kuliko kujifanya nchi ya baba ako hii mkuu......

Acheni maneno mengi tunataka umeme usio wa mgao ivi wewe unaujua umeme kweli??? Yani mitambo iwe mibovu na bado inazalisha umeme? Acheni siasa raia mambo yetu yanakuwa hayaendi nyie fala tutulizieni hio nishati aise
 
wanajitetea lakini ukweli wanaujua sn
 
Huyu Makamba kwa Nini anamwigiza Rais katika deals umeme na wakati yeye ndio mwenye dhamana, huyu afai kabisa katika nafasi ya uwaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…