Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana wasio na utambulisho wa kitamaduni kuna tabu, mshangao na sintofahamu nyingi sana aise dahKitu Kinachonitia Hofu sana Ni kwamba Huyo Ndiyo Mshauri wa Rais kwa Upande wa Afya..
Ni vigumu sana Kushauri kitu kwa Kutilia Mkazo kama Atatishiwa au Kukataliwa Mawazo yake..
Napata Hofu sana..
Eeh Mungu wangu Chama changu Kinaenda wapi?😭😭
Najua Kuwa Siwezi kuhama Kwenda Upinzani, Chadema au ACT ila Naumia Nikiyaona haya..
Kwa Uchungu kabisa..
CC:- Tlaatlaah
Kugalagala kama ishara ya shujrani na unyenyekevu ndio uchawa?Fikiria huyo ni waziri anafanya huo uchawa, je chawa kama ChoiceVariable na Lukas mwashamba unadhani wanaweza kufanyaje? Lakini bahati mbaya kwa taifa chawa hao ndio wanaongoza wizara na idara mbalimbali za serikali.
🤣😅🤣😅🤣 Ujinga ni mzigo kwakweli, alitakiwa aandae wamama UWT na wanawake bwa rank ya chini ndani bya chama!!!!Fikiria huyo ni waziri anafanya huo uchawa, je chawa kama ChoiceVariable na Lukas mwashamba unadhani wanaweza kufanyaje? Lakini bahati mbaya kwa taifa chawa hao ndio wanaongoza wizara na idara mbalimbali za serikali.
Kazi walizofanya WATANZANIA tax payers!!Kwa hakika kazi aliyoifanya RAIS Samia ndani ya hii Miaka anastahili pongezi na kuungwa mkono.maana ni kama ndoto vile. Kwa sababu huwezi kuamini katika muda na miaka hiyo mitatu ameweza kukamilisha Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere,ujenzi wa reli ya kisasa kabisa ya umeme,utoaji wa Elimu bure hadi kidato cha sita,kuongeza bajeti ya wizara ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi,kutiririsha zaidi ya Trilioni sita secta ya Afya ,ujenzi wa barabara mbalimbali Nchini,ujenzi wa hospitali bora na za kisasa na zenye vifaa bora na vya kisasa.ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 na mengine mengi sana.
Kama vile kuwapandisha madaraja na kuwalipa malimbikizo ya madeni yao watumishi wa umma,kutoa ajira kwa vijana na mengine mengi
Sahivi sio tu kububujikwa, ni kugalagala kwa furaha.Kwa hakika kazi aliyoifanya RAIS Samia ndani ya hii Miaka anastahili pongezi na kuungwa mkono.maana ni kama ndoto vile. Kwa sababu huwezi kuamini katika muda na miaka hiyo mitatu ameweza kukamilisha Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere,ujenzi wa reli ya kisasa kabisa ya umeme,utoaji wa Elimu bure hadi kidato cha sita,kuongeza bajeti ya wizara ya kilimo kufikia Trilioni moja na pointi,kutiririsha zaidi ya Trilioni sita secta ya Afya ,ujenzi wa barabara mbalimbali Nchini,ujenzi wa hospitali bora na za kisasa na zenye vifaa bora na vya kisasa.ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 20 na mengine mengi sana.
Kama vile kuwapandisha madaraja na kuwalipa malimbikizo ya madeni yao watumishi wa umma,kutoa ajira kwa vijana na mengine mengi
Hivi huyu ni mngoni au Mndendeule???Alichofanya Mhe. Mhagama ni kitendo ambacho kinahesabila Ni heshima kubwa kwenye Jamii ya Wangoni huko Peramiho na Ruvuma.
🔨🔨🔨Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Hiyo ni ishara ya kushukuru kwa makabila ya kusini mwa Tanzania,hasa wanawake,kwahiyo usimshangae sana...Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara