City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Umuhimu wa elimu na exposure mkuu.Majirani hapo wanajielewa
Siyo wale wa tandale wameletewa vituo vya mafuta mpaka...
Utawaua watu wa Tandale.
😁😁
Hawawezi kufikiri kama wakina Tibaijuka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umuhimu wa elimu na exposure mkuu.Majirani hapo wanajielewa
Siyo wale wa tandale wameletewa vituo vya mafuta mpaka...
Kama huyo mwenye kituo ana vibali vyote, basi amburuze Waziri wa Aridhi Mahakamani ili apate haki yake!!Tunajua unatafuta hela za kampeni, lakini huyo mwenye kituo cha mafuta ana vibali vyote vya ofisi yako...
Siyo kama hao wanasiasa wanaona sifa kujitambulisha asili yao kama maskini. Wao wanachosema ndio kweli.Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi...😀
SafiWaziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
25Millioni unaihesabu kwenye kutafuta Ubunge kweli.?Anatafuta kiki ya kisiasa 2025. 2020 alihonga 25ml kushinda Ukonga.
Huyu mtu samia amemtoa wapiWaziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi...😀
Kwa iyo rubani ni tajiri?Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas [emoji3]
Kwake kupokea RUSHWA hapana ila kutoa ruksa kwakuwa ana kitita cha urithi.Anatafuta kiki ya kisiasa 2025. 2020 alihonga 25ml kushinda Ukonga.
Huyo muongo mkubwa!Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas [emoji3]
Hajasema yeye hatoi rushwa bali hapokei rushwa. Hujaelewa nini sasa?!😡Anatafuta kiki ya kisiasa 2025. 2020 alihonga 25ml kushinda Ukonga.
Safi sana Jerry, tunahitaji watu wanaokataa rushwaWaziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
Lukuvi akatumikie kigangoniMrudisheni Lukuvi Ardhi
Waziri kamtumia Salaam anasema aambiwe kama kuna mtu kazichukua akasema ataniletea basi imekula kwake maana yeye hapokei rushwa, labda wamemliza wajanjaMkuu, hizi Million 300 ni za mmiliki wa kile kituo cha mafuta kicholalamikiwa na wakina Prof. Tibaijuka?