Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi...😀
Siyo kama hao wanasiasa wanaona sifa kujitambulisha asili yao kama maskini. Wao wanachosema ndio kweli.

Na ndio ukweli wengi walio uongozini asili yao ni maskini. Nyerere aliwafaidisha sana watoto wa maskini wakapata elimu kisha wengine wakawa matajiri kwa njia sahihi na wengi kwa ulaji rushwa na ufisadi.

Jerry kwa vile baba yako alikua na uwezo unakosea sana kufikiri wanasiasa wenzako kuonesha wametoka kwenye umaskini wanaona fahari.

Wanachotaka tu ni kuwaaminisha raia wengi wao maskini na wanapambana kuinua maisha yao kwamba wanaufahamu umaskin.

Huenda jerry ni mtu wa majivuno na kuna wakati uliwahi kutoa kauli za kumdharau baba wa taifa kwa kujali maskini.

Binafsi nina shaka sana kama ni mtu sahihi kwenye nafasi yako ya uwaziri.
 
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.

Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.

Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.

I wish you a Merry Christmas 😀
Safi
Mambo ya kukiri roho za umasikini km sifa vile
 
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.

Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.

Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.

I wish you a Merry Christmas [emoji3]
Kwa iyo rubani ni tajiri?
 
Huyo muongo mkubwa!
Hiyo issue ya kituo cha mafuta Mikocheni imemkalia vibaya sababu kuna wastaafu wakubwa kwenye hilo sakata.

Kiongozi wao ni Mama Anna Tibaijuka.
Hivyo Slaa angekula hiyo pesa na uwaziri ndio ungekuwa bye-bye!
 
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.

Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.

Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.

I wish you a Merry Christmas 😀
Safi sana Jerry, tunahitaji watu wanaokataa rushwa
 
Kiki za nguvu
Mkuu, hizi Million 300 ni za mmiliki wa kile kituo cha mafuta kicholalamikiwa na wakina Prof. Tibaijuka?
Waziri kamtumia Salaam anasema aambiwe kama kuna mtu kazichukua akasema ataniletea basi imekula kwake maana yeye hapokei rushwa, labda wamemliza wajanja
Kaongea kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom