thadeud malingumu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 123
- 220
Wanasiasa wa Bongo huwa wanasema wasiyoyaishi !!Siyo kama hao wanasiasa wanaona sifa kujitambulisha asili yao kama maskini. Wao wanachosema ndio kweli.
Na ndio ukweli wengi walio uongozini asili yao ni maskini. Nyerere aliwafaidisha sana watoto wa maskini wakapata elimu kisha wengine wakawa matajiri kwa njia sahihi na wengi kwa ulaji rushwa na ufisadi.
Jerry kwa vile baba yako alikua na uwezo unakosea sana kufikiri wanasiasa wenzako kuonesha wametoka kwenye umaskini wanaona fahari.
Wanachotaka tu ni kuwaaminisha raia wengi wao maskini na wanapambana kuinua maisha yao kwamba wanaufahamu umaskin.
Huenda jerry ni mtu wa majivuno na kuna wakati uliwahi kutoa kauli za kumdharau baba wa taifa kwa kujali maskini.
Binafsi nina shaka sana kama ni mtu sahihi kwenye nafasi yako ya uwaziri.
Anayetoa na anayepokea na anayemficha mhalifu wote ni chungu kimoja !!huyu bwana ahojiwe na amtaje aliye taka kumpa iyo rushwa TAKUKURU wafanye kazi ili tujue ni kweli ama anatafuta kiki
Kabisa !Lukuvi alikuwa smart sana. Mama hamrudishe tu wizard hii
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
Mangi hajapepesa maneno. Ila Ardhi usichukue rushwa. Ngumu kuamini.Duh aiseee
Kale kaugonjwa ka kupumua ni shida !!Awe makini!
Wahuni wasije kumchezea shere!
Wenye misimamo kama hiyo hawapendwi na chama chetu Sasa hivi!
Wasije Wakacheza na afya yake!!
Kataa wahuni!!
MoringeAwe makini!
Wahuni wasije kumchezea shere!
Wenye misimamo kama hiyo hawapendwi na chama chetu Sasa hivi!
Wasije Wakacheza na afya yake!!
Kataa wahuni!!
Ata mie nashanga unachaje 300milion jamani...kweli jamaa kabugi.Ego inamwendesha na anasahu yupo hapo kwa muda kwanza hakuna mwanasiasa wa kukataa mil 300 huko ccm anatafuta kuongelewa na Attention
Na sisi tutapokea Ili tuondokane na maskini.Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
Anayehonga anaweza kupokea pia, ni mduara huo. Anayekataa kutoa anakataa kupokea pia.Hajasema yeye hatoi rushwa bali hapokei rushwa. Hujaelewa nini sasa?![emoji35]
Lakini pia kama ni tajiri asichukuwe mshahara basi wala posho bungeni eti.Kama anaamini yeye ni tajiri, basi tutafute tafsiri ya neno tajiri, yaani urubani wa baba yake ndio umemfanya kuwa tajiri?