Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Usanii mtupu
 
HUYU WAZIRI KASEMA UKWELI
BABA YAKE NI MCHAGGA WA MACHAME NIMEFANYA NAYE KAZI AKIWA RUBANI NA MAMA
YAKE ALIKUWA AFISA WA NGAZI YA JUU WA JESHI LA POLISI.SASA FIKIRIA RUBANI WA SIKU NYINGI HALAFU MCHAGA. WAZIRI KASEMA UKWELI.
Tunao marubani wengi mtaani ambao wamestaafu toka kwenye complex aviation (military) ambako hakuna auditing (umewahi kusikia CAG ame-audit jeshi?); badala ya simple aviation (civil) na pia wamo wachaka (wachagga) lakini ni machokambaya hatari.
 
Rushwa inatangazwa hivi? Job true true
 
Vya jimboni kwake huenda alivuta. Sasa Mikocheni amekutana na mamaa wa UN Habitat, patachimbika bila greda kama NEMC, EWURA na Manispaa walivuta na kutoa vibali. Kama wanataka kuujuwa muziki mnene wa Tibaijuka vizuri wafe wakamuulize Mugabe, Malkia Elizabeth na Mkapa kuhusu makazi Harare.
 
Inawezekana mnyororo wa thamani ulikuwa mrefu bwashee Mwekezaji katoa B 3 Waziri anapelekewa M 3 yaani 10%

Hata Wewe usingekubali Wahuni waondoke na 90%

Waziri Silaa anadai, amesikia mzigo ulishawekwa mezani ila yeye hajapokea mgao kwa sababu Biblia imekataza hayo mambo

Mlale Unono 😃😃
 
Huyo jerry kitambo mimi namuona hasomeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…