Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
1,000,000% correct.Kukataa tu haitoshi,alipaswa kulifikisha TAKUKURU ili awe mfano wa kuigwa!
Chagua binti mzuuuri nakulipia mahari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1,000,000% correct.Kukataa tu haitoshi,alipaswa kulifikisha TAKUKURU ili awe mfano wa kuigwa!
Anaacha kulifikisha TAKUKURU analifikisha kwenye Media. Propaganda hii ambayo opposite yake ni propakenya.Kukataa tu haitoshi,alipaswa kulifikisha TAKUKURU ili awe mfano wa kuigwa!
Hahahaaa...Kiki za nguvu
Waziri kamtumia Salaam anasema aambiwe kama kuna mtu kazichukua akasema ataniletea basi imekula kwake maana yeye hapokei rushwa, labda wamemliza wajanja
Kaongea kitu kama hicho
Usanii mtupuWaziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
Tunao marubani wengi mtaani ambao wamestaafu toka kwenye complex aviation (military) ambako hakuna auditing (umewahi kusikia CAG ame-audit jeshi?); badala ya simple aviation (civil) na pia wamo wachaka (wachagga) lakini ni machokambaya hatari.HUYU WAZIRI KASEMA UKWELI
BABA YAKE NI MCHAGGA WA MACHAME NIMEFANYA NAYE KAZI AKIWA RUBANI NA MAMA
YAKE ALIKUWA AFISA WA NGAZI YA JUU WA JESHI LA POLISI.SASA FIKIRIA RUBANI WA SIKU NYINGI HALAFU MCHAGA. WAZIRI KASEMA UKWELI.
Tena ili Gekul asionekane ameonewa, basi shoka lile lile lililomkata Gekul nalo limkate Silaa ili apishe uchunguzi kwanza.huyu bwana ahojiwe na amtaje aliye taka kumpa iyo rushwa TAKUKURU wafanye kazi ili tujue ni kweli ama anatafuta kiki
Rushwa inatangazwa hivi? Job true trueWaziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
Vya jimboni kwake huenda alivuta. Sasa Mikocheni amekutana na mamaa wa UN Habitat, patachimbika bila greda kama NEMC, EWURA na Manispaa walivuta na kutoa vibali. Kama wanataka kuujuwa muziki mnene wa Tibaijuka vizuri wafe wakamuulize Mugabe, Malkia Elizabeth na Mkapa kuhusu makazi Harare.Mimi kuna kitu sikuelewi
Huyo mwenye petrol station kosa lake nini hasa ? Kwa nini ashupaliwe hivyo?
Kama kujenga kituo labda maeneo ya makqzi uswahilini mbona viko vingi mno tena viko kwenye Mbanano wa wa makazi kote ikiwemo jimboni kwake
Mbona huo mfoko hatujauona akifoka kule wakati vituo kibao viko makazi ya watu?
Kweli kabisa, kwenye umeya hakuvuta? Vita ile ilikuwa ya nini?Wanasiasa wa Bongo huwa wanasema wasiyoyaishi !!
Na takrima kwa mujibu wa tafsiri ya CCM (kasoro CCM ya Pombe/Jembe) siyo rushwa na siyo dhambi. Angepokea akasema ni takrima."Rushwa ni adui wa haki,sitatoa wala kupokea Rushwa" Ahadi za Wana CCM, lakini baadhi ya viongozi wanapokea takrima.
Kwa mujibu wa tafsiri ya Jerry.Kwa hiyo maskini ndo wanapokea Rushwa
Hahahaaa...Tutakuaminije? Umepataje tender ya kutandaza/ kusambaza maji na kampuni yako ya Mshamindi Construction LTD kule Uhambingeto Wilaya ya Kilolo na umelipwa 90% ya kazi huku hajakamilisha kazi mpaka yule Diwani mwanamke akakushtaki kwa KM wa CCM Chongolo?
TAKUKURU wanasubiri wabembelezwe kufanya kazi yao.Rushwa inatangazwa hivi? Job true true
Ngoja tuone maana hapa kawagusa wafanya biashara wengi,hii vita ni vita muraUmuhimu wa elimu na exposure mkuu.
Utawaua watu wa Tandale.
[emoji16][emoji16]
Hawawezi kufikiri kama wakina Tibaijuka.
Bwashee hivi hapa mjini kuna Kituo cha mafuta kimejengwa maeneo yasiyo na makazi ya Watu?Ngoja tuone maana hapa kawagusa wafanya biashara wengi,hii vita ni vita mura
Ova
Huyo jerry kitambo mimi namuona hasomeki!Inawezekana mnyororo wa thamani ulikuwa mrefu bwashee Mwekezaji katoa B 3 Waziri anapelekewa M 3 yaani 10%
Hata Wewe usingekubali Wahuni waondoke na 90%
Waziri Silaa anadai, amesikia mzigo ulishawekwa mezani ila yeye hajapokea mgao kwa sababu Biblia imekataza hayo mambo
Mlale Unono 😃😃
Inasikitisha sanaHuwa wanadhani kila mtu ana akili ndogo kama CCM
Tatizo ana kiswahili kirefuuuu na mbwembwe nyingiii lakini wapi!Huyo jerry kitambo mimi namuona hasomeki!