Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Duh 🙄 !
Hatariii !
 
Ndiyo maana nikasema wewe ni jinga kabisa. Hilo suala la rushwa ambalo ndilo kubwa zaidi amechukuwa hatua gani? Kusimamisha ujenzi bila kuchukuwa hatua kwa wala rushwa siyo suluhisho na hakutumi message nzuri kwa watoa rushwa wengine. Bora hata yule kima wangú ninayemfuga ana akili kuliko wewe. Unaniambia nijibu hoja wakati wewe ndiyo unatakiwa kujibu? Amechuwa hatua gani kwa mtoa rushwa? Umeweka utumbo wa bata kwenye nafasi ya ubongo wako?
 
Umasikini, Unyonge vyote hivyo si sifa ila watu wanapenda vitukuza
Vitu hivyo sio sifa ni kweli, lakini vilikuwepo tangu mwanzo wa Dunia na bado vipo na vitaendelea kuwepo mpaka mwisho wa Dunia ! Kama huo mwisho utakuwepo !!
Ila dalili zote zinaonyesha huo mwisho upo tu = Climate change ndiyo itauleta huo mwisho !!
Na wasababishi wakuu wa hiyo Climate change ni hao wakubwa wa Dunia ambao wako tayari kufanya chochote kile pamoja na kuchafua hali ya hewa kwa kuzalisha hewa ukaa nyingi duniani ili tu wasiitwe wanyonge au masikini 😅🙄😱🙏🙏!
Umasikini na unyonge sio sifa lakini Utajiri nao unaleta maafa makubwa including rushwa zile kubwa kubwa ambazo ndio Janga kuu kwenye Nchi zetu tunazodanganywa kwamba eti ni MASIKINI !! 🙏🙏
 
Umewaza parefu sana
Kwa tamaa hiyo anaona 300m ya bure ni kama kadhalilishwa alitaka ale hata 25% ya bure

Umenikumbusha mwizi wa baiskeli alieibiwa hiyo baiskeli akaanza kulia kaibiwa
 
Ohooo !
Kumbe ni kwa mama wa vihela vya mboga !! 😱
Ngoja Tusubiri tuone huu mziki utaishaje !!
Tunahitaji vijana machachari wenye uwezo wa kuhoji 🙏🙏
 
Naona wachukua rushwa wanachukia kuambiwa ni watoto wa masikini ndio maana wanachukua rushwa na kujilimbikizia mali Slaa upo sahihi...
 
Mimi ningekua ndiyo huyo waziri, ningelamba hiyo m300 alafu bado ninge simamia sheria inavyotaka!!
 
Kuchafuana ndani ya Lichama letu ndio ujanja wa mjini !
Ngoja tuone !
 
Pamoja na kwamba rushwa ni changamoto kubwa katika siasa zetu, Jerry anastahili pongezi nyingi kwa kupambana kwa maneno na vitendo. Amesema hadharani kwamba alipelekewa rushwa akakataa na amewaachisha watumishi kazi.
Slaa ni tapeli tu,mtu anayekuletea million 300,uishie kuzikataa tu!?,kwa nn huyo mleta rushwa asiishie lupango!?. Akawadanganye wajinga wenzie.
 
Umewaza parefu sana
Kwa tamaa hiyo anaona 300m ya bure ni kama kadhalilishwa alitaka ale hata 25% ya bure

Umenikumbusha mwizi wa baiskeli alieibiwa hiyo baiskeli akaanza kulia kaibiwa
Black Sniper.

Nani ampe 25%?

EWURA wenyewe wanachukuwa hadi 50ml nje ya gharama ya kibali, NEMC nao kama EWURA, bado Manispaa, Jerry, Mramba, Serikali ya Mtaa, Baraza la Kata la Ardhi, TRA, BRELA and sundries.

Hadi unamaliza kujenga huna kitu mfukoni cha kuagizia mzigo, inabidi ukope upya tena au ukodishe kituo kwa makampuni ya mafuta.

Bongo ukitaka kufungua biashara unashambuliwa/unaliwa staili ya mbwamwitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…