mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Duh 🙄 !Tutakuaminije? Umepataje tender ya kutandaza/ kusambaza maji na kampuni yako ya Mshamindi Construction LTD kule Uhambingeto Wilaya ya Kilolo na umelipwa 90% ya kazi huku hajakamilisha kazi mpaka yule Diwani mwanamke akakushtaki kwa KM wa CCM Chongolo?
Hatariii !