Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Siyo Slaa ni SilaaSlaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Slaa ni SilaaSlaa?
Asante kwa kunisahihisha.Siyo Slaa ni Silaa
kirahisi hivyoMimi ningekua ndiyo huyo waziri, ningelamba hiyo m300 alafu bado ninge simamia sheria inavyotaka!!
Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.
Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.
Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.
I wish you a Merry Christmas 😀
======
Dar es Salaam
“Nimekataa Rushwa ya Tsh. Milioni 300”- Waziri wa Ardhi Mhe . Jerry Silaa
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Jerry Silaa, ametangaza kusitisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni, mkoani Dar es Salaam, kutokana na kituo hicho kujengwa bila kufuata utaratibu wa Wizara hiyo.
Mhe. Silaa amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh. Mil. 300/= ambazo amedai amezikataa huku akibainisha kuwa ukichukua rushwa kila kitu utaona kipo sahihi.
Waziri huyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara wa Ardhi na Mipango Miji nchi nzima kufanya uhakiki wa vituo vya mafuta vilivyo kwenye maeneo yao, kwa kuangalia matumizi yake pamoja na mchakato uliotumika kupatikana kwa viwanja hivyo
View attachment 2851260
Aisee acha nibaki huku huku maana kila kitu ni mtandao tu hata ukitaka usiongee na mtu popote unawezaBlack Sniper.
Nani ampe 25%?
EWURA wenyewe wanachukuwa hadi 50ml nje ya gharama ya kibali, NEMC nao kama EWURA, bado Manispaa, Jerry, Mramba, Serikali ya Mtaa, Baraza la Kata la Ardhi, TRA, BRELA and sundries.
Hadi unamaliza kujenga huna kitu mfukoni cha kuagizia mzigo, inabidi ukope upya tena au ukodishe kituo kwa makampuni ya mafuta.
Bongo ukitaka kufungua biashara unashambuliwa/unaliwa staili ya mbwamwitu.
NonsenseHUYU WAZIRI KASEMA UKWELI
BABA YAKE NI MCHAGGA WA MACHAME NIMEFANYA NAYE KAZI AKIWA RUBANI NA MAMA
YAKE ALIKUWA AFISA WA NGAZI YA JUU WA JESHI LA POLISI.SASA FIKIRIA RUBANI WA SIKU NYINGI HALAFU MCHAGA. WAZIRI KASEMA UKWELI.
Ahahahahahahah kiukweli sijui saana Kwa ufasaha kuandika Kiswahili japokuwa najua kukizungumza.Eti ''masihala''. Hata kuandika kiswahili sahihi hujui! Ulisomea wapi na kumaliza walau darasa la saba huku hujui kuandika kiswahili! Ukisikia ''the time when fool is at heat'' ndiyo condition unayopitia.
Nguruwe mtamu mwanangu, na hapa jioni tu naenda kumshughulikia hapa Malangali huku nikilamba lites zangu za maana-maisha yanasonga.Na wewe idiot usipende kuingia vitu ambavyo hujui mwanzo wake. Unakuwa na akili kama za nguruwe na wewe ni binadamu? Asamehe nini sasa?
Shule nyingine: Siyo ''taraka'' ni talaka. Kama umesoma mpaka darasa la saba lakini maneno ya kiswahili yanakushinda kuandika kichwani kuna nini? Halafu una ule ule ulimbukeni wa kijinga wa washamba wanaodhani kumwita mtu ''dada'' ni ujuaji!Nguruwe mtamu mwanangu, na hapa jioni tu naenda kumshughulikia hapa Malangali huku nikilamba lites zangu za maana-maisha yanasonga.
You seem to be desperate; Utakuwa umeachwa, au umepewa taraka au mtoto kafia tumboni.
Pole sana dadangu, utapata mimba nyingine kuwa na subra!
Wanamwogopa kwenye mambo ya uraisi.Mrudisheni Lukuvi Ardhi
Rubani wa helikoptaRubani siyo tajiri, ni mtu mwajiriwa wa mshahara kama wengine, vinginevyo awe anamiliki na kuendesha ndege zake kibiashara.
Poa sister! Unaonekana una hasira sijui umekuwaje! Shemeji hakutoshekezi nini dada!Shule nyingine: Siyo ''taraka'' ni talaka. Kama umesoma mpaka darasa la saba lakini maneno ya kiswahili yanakushinda kuandika kichwani kuna nini? Halafu una ule ule ulimbukeni wa kijinga wa washamba wanaodhani kumwita mtu ''dada'' ni ujuaji!
We used to have village fools but with the internet, they have gone global!Poa sister! Unaonekana una hasira sijui umekuwaje! Shemeji hakutoshekezi nini dada!
Itashangaza sana kama watakaa kimya.Ajabu ni kuwa TAKUKURU watakaa kimya kama vile hawajasikia jambo.
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Jerry Silaa, ametangaza kusitisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni, mkoani Dar es Salaam akidai kuwa kituo hicho kujengwa bila kufuata utaratibu wa Wizara hiyo.
Waziri huyo amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh.Mil. 300 ambazo amedai kuwa amezikataa na kubakia kusimamia ukweli katika sakata hilo.
Waziri huyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara wa Ardhi na Mipango Miji nchi nzima kufanya uhakiki wa vituo vya mafuta vilivyo kwenye maeneo yao, kwa kuangalia matumizi yake pamoja na mchakato uliotumika kupatikana kwa viwanja hivyo.
Kituo hicho kilichopo mikocheni kiliwaibua wananchi wanaolizunguka eneo hilo kuwa kimejengwa eneo la makazi ambalo ni hatarishi kwa usalama, kati ya wakazi waliopinga uwepo wa kituo hicho eneo hilo ni Prof. Anna Tibaijuka.View attachment 2852361View attachment 2852362