Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi.

Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa ni kipofu.

Waziri amekataa Rushwa ya tsh 300 milioni kutoka kwa tajiri Mmoja aliyejenga kituo cha Mafuta Kinyume cha utaratibu pale Mikocheni.

I wish you a Merry Christmas 😀

======

Dar es Salaam

“Nimekataa Rushwa ya Tsh. Milioni 300”- Waziri wa Ardhi Mhe . Jerry Silaa

Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Jerry Silaa, ametangaza kusitisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni, mkoani Dar es Salaam, kutokana na kituo hicho kujengwa bila kufuata utaratibu wa Wizara hiyo.

Mhe. Silaa amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh. Mil. 300/= ambazo amedai amezikataa huku akibainisha kuwa ukichukua rushwa kila kitu utaona kipo sahihi.

Waziri huyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara wa Ardhi na Mipango Miji nchi nzima kufanya uhakiki wa vituo vya mafuta vilivyo kwenye maeneo yao, kwa kuangalia matumizi yake pamoja na mchakato uliotumika kupatikana kwa viwanja hivyo
View attachment 2851260

View: https://www.instagram.com/p/C1OcujPIWUv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Black Sniper.

Nani ampe 25%?

EWURA wenyewe wanachukuwa hadi 50ml nje ya gharama ya kibali, NEMC nao kama EWURA, bado Manispaa, Jerry, Mramba, Serikali ya Mtaa, Baraza la Kata la Ardhi, TRA, BRELA and sundries.

Hadi unamaliza kujenga huna kitu mfukoni cha kuagizia mzigo, inabidi ukope upya tena au ukodishe kituo kwa makampuni ya mafuta.

Bongo ukitaka kufungua biashara unashambuliwa/unaliwa staili ya mbwamwitu.
Aisee acha nibaki huku huku maana kila kitu ni mtandao tu hata ukitaka usiongee na mtu popote unaweza
Maana unamaliza kila kitu kwa vidole tu
Huko systems ndio ziko hivyo hata ukitaka kulipia malipo halali mtu anataka nae cha juu aisee ndio maana wanasiasa wanawaandaa chipukizi wao kuja kuiba

Yaani Magu alilikataa hili la Chipukizi ila majizi yamelirudisha tena
Unamuandaa mtoto aje kuwa mwizi hapo unategemea nini
Hata baada ya miaka 100 ijayo hali itakuwa hivi hivi
Poleni sana
 
Eti ''masihala''. Hata kuandika kiswahili sahihi hujui! Ulisomea wapi na kumaliza walau darasa la saba huku hujui kuandika kiswahili! Ukisikia ''the time when fool is at heat'' ndiyo condition unayopitia.
Ahahahahahahah kiukweli sijui saana Kwa ufasaha kuandika Kiswahili japokuwa najua kukizungumza.

Lakini hainipi shida sana maana Kuna watu wana mpaka PhD za Kiswahili nadhani na wewe Utakuwa miongoni mwao kwamaana ya Wataalamu wa lugha hii!

Badala ya kunishambulia kwa hasira si unanisahihisha tu mzee na maisha yakaendelea ahahahah

Jf imeanza kuwa na makuburu wenye hasira kali. Nadhani bro itakuwa umeanza kupata madhara ya Johnson Johnson ile chanjo uliochomwa kiunoni!

Lugha ni nyenzo tu ya mawasiliano and no language that is superior to others!
 
Na wewe idiot usipende kuingia vitu ambavyo hujui mwanzo wake. Unakuwa na akili kama za nguruwe na wewe ni binadamu? Asamehe nini sasa?
Nguruwe mtamu mwanangu, na hapa jioni tu naenda kumshughulikia hapa Malangali huku nikilamba lites zangu za maana-maisha yanasonga.

You seem to be desperate; Utakuwa umeachwa, au umepewa taraka au mtoto kafia tumboni.

Pole sana dadangu, utapata mimba nyingine kuwa na subra!
 
Shule nyingine: Siyo ''taraka'' ni talaka. Kama umesoma mpaka darasa la saba lakini maneno ya kiswahili yanakushinda kuandika kichwani kuna nini? Halafu una ule ule ulimbukeni wa kijinga wa washamba wanaodhani kumwita mtu ''dada'' ni ujuaji!
 
Poa sister! Unaonekana una hasira sijui umekuwaje! Shemeji hakutoshekezi nini dada!
 
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Jerry Silaa, ametangaza kusitisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni, mkoani Dar es Salaam akidai kuwa kituo hicho kujengwa bila kufuata utaratibu wa Wizara hiyo.

Waziri huyo amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh.Mil. 300 ambazo amedai kuwa amezikataa na kubakia kusimamia ukweli katika sakata hilo.

Waziri huyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara wa Ardhi na Mipango Miji nchi nzima kufanya uhakiki wa vituo vya mafuta vilivyo kwenye maeneo yao, kwa kuangalia matumizi yake pamoja na mchakato uliotumika kupatikana kwa viwanja hivyo.

Kituo hicho kilichopo mikocheni kiliwaibua wananchi wanaolizunguka eneo hilo kuwa kimejengwa eneo la makazi ambalo ni hatarishi kwa usalama, kati ya wakazi waliopinga uwepo wa kituo hicho eneo hilo ni Prof. Anna Tibaijuka.View attachment 2852361
Screenshot_20231225-122441_1.jpg
 
Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Jerry Silaa, ametangaza kusitisha matumizi ya kituo cha mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni, mkoani Dar es Salaam akidai kuwa kituo hicho kujengwa bila kufuata utaratibu wa Wizara hiyo.

Waziri huyo amesema hayo alipotembelea eneo hilo, kilipojengwa kituo hicho, ambapo amebainisha kuwa, kuna watu walimfuata wakitaka kumpa rushwa ya Tsh.Mil. 300 ambazo amedai kuwa amezikataa na kubakia kusimamia ukweli katika sakata hilo.

Waziri huyo pia amewaagiza Wakuu wa Idara wa Ardhi na Mipango Miji nchi nzima kufanya uhakiki wa vituo vya mafuta vilivyo kwenye maeneo yao, kwa kuangalia matumizi yake pamoja na mchakato uliotumika kupatikana kwa viwanja hivyo.

Kituo hicho kilichopo mikocheni kiliwaibua wananchi wanaolizunguka eneo hilo kuwa kimejengwa eneo la makazi ambalo ni hatarishi kwa usalama, kati ya wakazi waliopinga uwepo wa kituo hicho eneo hilo ni Prof. Anna Tibaijuka.View attachment 2852361View attachment 2852362

I doubt kwa jinsi ninavyomfahamu
 
Back
Top Bottom