Huwa nashindwa kuelewa kwann swala la Mipaka ya Ardhi linatatuliwa na Mwanasiasa. It's beyond me.Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi?
Kwa nini wasielekezwe mahakamani? Kusimamishwa kazi ni njia ya kumtisha aachie kiwanja? Maana upande wa pili kuna mbunge wa CCM.
Baadae akienda mahakamani kupiinga kusimamishwa kazi, mahakama iseme alipwe mamilioni, unampelekea deni Samia?
Kununua ardhi mitaani huko kama mtu wa kawaida anavyonunua, ikawa na mgogoro, ni kosa la kiutumishi?
Huwa nashindwa kuelewa kwann swala la Mipaka ya Ardhi linatatuliwa na Mwanasiasa. It's beyond me.
Hilo swala lina taratibu zake za kutatuliwa kwa mujibu wa sheria... Ila recently Kuna ka wimbi ka Siasa kudhani ndio final say.
Na shida kubwa inajipika ...wasiasa wanachofanya wanavuta shuka..wanasahau kuna mahali wanawafunua watu.
Hujui unalolisema.TUNAWAJUA NINYI NI WEZI NA WAHUNI,,mshughulikiwe kisiasa,,
Huwa nashindwa kuelewa kwann swala la Mipaka ya Ardhi linatatuliwa na Mwanasiasa. It's beyond me.
Hilo swala lina taratibu zake za kutatuliwa kwa mujibu wa sheria... Ila recently Kuna ka wimbi ka Siasa kudhani ndio final say.
Na shida kubwa inajipika ...wasiasa wanachofanya wanavuta shuka..wanasahau kuna mahali wanawafunua watu.
Shida nadhani hakuna anaelewa kinacholalamikiwa. Lecturer wa UD akiwa kwenye mapenzi na Mwanafunzi wa IFM unamfukuza kazi kwani anamfundisha?!Hiyo ni sawa na Lecturer kumpenda mwanafunzi wake!! Huwezi kufanya kazi wizara ya ardhi then ununue ardhi yenye mgogoro!! Hajua procedure za ununuzi wa ardhi??
Shida huwezi kumsimamisha Mfanyakazi wa Simiyu kwa Mgogoro wa Mwanza. Akiwa Mwanza ni Mtanzania kama watanzania wengine. Ukifika Simiyu muwajibishe kama Mtumishi.Mbona hamtatui sasa kama mnazijua hizo taratibu?
Hata ukiwa mtumishi wa uma kusema umenunua ardhi ya kitapeli sikueliwi nakuona ni mjinga sana.Hiyo ni sawa na Lecturer kumpenda mwanafunzi wake!! Huwezi kufanya kazi wizara ya ardhi then ununue ardhi yenye mgogoro!! Hajua procedure za ununuzi wa ardhi??
Migogoro ni mingi sana Mtaalamu..kikubwa tuombe Uzima.Hata ukiwa mtumishi wa uma kusema umenunua ardhi ya kitapeli sikueliwi nakuona ni mjinga sana.