Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kwani kuna shida? Ni matumizi kwa viongoziSio mahitaji ya maji tu bali na magari ya kifahari kwa viongozi nayo ni sehemu ya mahitaji hivyo si ajabu mitozo isitoshe kugharamia shughuli za maendeleo.
Dooh hatar sanaKasongo Mundende namukati ya Ndumba na ngai.
Watu wanaangaika kwa wataalaamu,wewe Unafikiri kumfanya Mama akili yake ione Aweso ndiyo mchapakazi wakati wachapakazi wapo ni mchezo.Watu wamekaangwa kwenye chungu alafu uje umnyang'anye cheo kifala Mkuu.
"Au nasema uongo ndugu zanguuuu"
Njoo Mbutu Kichangani Kigamboni mtaa wa ShirikishoJe unazungumzia TANESCO hii mpya? Tafadhali onesha popote ulipokwama tukuhudumie kwa haraka na bila usumbufu, Tunawishi wateja wetu kuacha kuishi kwa hofu na mawazo ya nyuma TANESCO imeboresha huduma zake sana na wananchi wanafurahia huduma hizo
Tafadhali onesha
Namba ya Simu au namba ya taarifa kwa hatua zaidi
Heshima heshima please! Ulichokiandika hakina chembe ya heshima. 🙏🙏🙏Huyo anasifiwa na huyo mama tu. Sasa jiulize mtu akisifiwa na huyu mama anakuwa ana maana yoyote? Umewahi kuona watanzania wenye utimamu wakimsifia huyo jamaa?
Kwamba si shida kwako inatumika pesa kununua magari ya kifahari wakati pesa hizo zingeweza kupelekwa kwenye mambo ya msingi ya maendeleo ,kibaya mwananchi akilalamika kuwa mzigo wa tozo umekuwa mkubwa anaambiwa tunajenga vituo vya afya na kwamba asipende vya bure ila wao wananunua magari ya kifahari kwa kodi zetu hizo hizo tunaoambiwa tusipende vya bure na kama hatutaki tuhame nchi.Ndio kwani kuna shida? Ni matumizi kwa viongozi
Hii ilinikuta mimi binafsi nikiwa likizo. In fact nachukia rushwa na sikutoa hiyo pesa na negotiation iliishia hapo .na umeme sikuweka. Niliambiwa REA ishamaliza mradi so Tanesco ndo washa taje over. My parent lives in one of poor village sikutegemea a such reaction. Kwanza naenda kufanya second attempt then nafuatilia jupata details za huyo officer wenu ila how changamoto pia how do I trust you in thus platform .mmeshaweka reliable unit ya kureport issues .kama mtakuwa new Tanesco nitarudi kuwashukuruKwanini atoe pesa? Alimpa nani? TAFADHALI leta taarifa au ushahidi wa aliyempa na kwa huduma gani ikihithibika hatua zitachukuliwa, unaweza kutumq hata pm nasisi tutazifanyia kazi
Jina
Simu
Wilaya
Eneo
Aliyempa
Sababu za kumpa
Tupo kufanyia taarifa zote
Unataka viongozi watembelee kirikuu?Kwamba si shida kwako inatumika pesa kununua magari ya kifahari wakati pesa hizo zingeweza kupelekwa kwenye mambo ya msingi ya maendeleo ,kibaya mwananchi akilalamika kuwa mzigo wa tozo umekuwa mkubwa anaambiwa tunajenga vituo vya afya na kwamba asipende vya bure ila wao wananunua magari ya kifahari kwa kodi zetu hizo hizo tunaoambiwa tusipende vya bure na kama hatutaki tuhame nchi.
Kwako wewe bado hauoni shida tu na kwamba unaona kuna tija kwa viongozi kutembelea magari ya kifahari?
Kwani umeona hawawajibiki?Wawe wawajibakaji na sio kustarehe tu kwenye kodi na tozo za watu....
Ukiwa hauna shida hivyo vitu,hutoona pia kwa wenzio,mwezi wa sita huu tunasubiria mabomba na sehemu kubwa ya mitaro imejifukia na hela tumeshalipa.. Haya ni baadhi ya maeneo Dodoma hayana maji na ni ya mjini..Nzuguni( mabomba yapo ila hayatoi maji zaid ya miez 6) kata ya mkonze 70% haina maji na makazi yamepanuka sana,Ihumwa hivo hivo.. na sisi tunaotembea mikoani hali ni hiyohiyo...Kwani umeona hawawajibiki?
Hapo shida sio Waziri bali pesa ambazo hatoi yeye ni mpaka zipatikane zitatumwa..Ukiwa hauna shida hivyo vitu,hutoona pia kwa wenzio,mwezi wa sita huu tunasubiria mabomba na sehemu kubwa ya mitaro imejifukia na hela tumeshalipa.. Haya ni baadhi ya maeneo Dodoma hayana maji na ni ya mjini..Nzuguni( mabomba yapo ila hayatoi maji zaid ya miez 6) kata ya mkonze 70% haina maji na makazi yamepanuka sana,Ihumwa hivo hivo.. na sisi tunaotembea mikoani hali ni hiyohiyo...
Sasa nioneshe uwajibakaji wa hao watu kwenye huduma muhimu km hii?
Ule mradi wa bilioni 500 ndo zilipigwa?Yaani hawa maji ndio shida sana,leo tunatimiza week kwa Mrefu, Arusha chini ya AUWSA hatuna maji majumbani kwetu na still wanadare kutuma bill yaani nina hasira nao sana
Tafadhali toa taarifa sahihi kwa huduma boraNjoo Mbutu Kichangani Kigamboni mtaa wa Shirikisho
Tumeshafuatilia sana
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Acha tu ndugu yangu,leo ni siku ya saba mpaka sasa hivi navyoongea watu wa Kwa Mrefu tunaenda chota maji ya chemchem ya pale Baraa,AUWSA wapo na hakuna hata sms ya kuomba radhi kutokuepo week nzima mpka naanza kuamini mdau mmoja hapa uwa analeta hoja kuwa AUWSA mkugurugenzi wake ni bomu na fisadiUle mradi wa bilioni 500 ndo zilipigwa?
Kwamaana walisema Arusha shida ya maji kushney
Huyo mama ni rais wetu anazo taarifa za kina za kila waziri na kila mteuliwa wake. Usijifanye una akili nyingi kumbe unaonekana mjinga tu kwa kudharau mamlaka usizojua zina ukubwa gani.Huyo anasifiwa na huyo mama tu. Sasa jiulize mtu akisifiwa na huyu mama anakuwa ana maana yoyote? Umewahi kuona watanzania wenye utimamu wakimsifia huyo jamaa?
Kwamba hakuna magari mazuri mengine ambayo wanaweza kutembelea zaidi hayo ya kifahari yenye gharama?Unataka viongozi watembelee kirikuu?
Povu tyr 🤣🙌Je unazungumzia TANESCO hii mpya? Tafadhali onesha popote ulipokwama tukuhudumie kwa haraka na bila usumbufu, Tunawishi wateja wetu kuacha kuishi kwa hofu na mawazo ya nyuma TANESCO imeboresha huduma zake sana na wananchi wanafurahia huduma hizo
Tafadhali onesha
Namba ya Simu au namba ya taarifa kwa hatua zaidi