Waziri Kabudi akanusha kuthibitisha kifo cha Mwanahabari, Azory Gwanda

Waziri Kabudi akanusha kuthibitisha kifo cha Mwanahabari, Azory Gwanda

prof. hakukosea kabisa ila tumewazoea mkitengeneza tafsiri zenu mnapomchukia mtu na natambua Prof anachukiwa kwa nguvu na uwezo alionao katika kujenga hoja.

mlipokosea ni kudhani kwamba prof anaweza kuongea kama Sugu au Mbowe, lazima daima ujue kwamba yule mtu anapoongea anaongea mambo mazito na magumu kwa watanzania wengi kuyaelewa haraka

Kwa taarifa yako huyo Kabudi Ni bogus mwenye elimu ya uprofesa ambaye kalewa madaraka.
 
  • Thanks
Reactions: prs
unadhani kila mtu anaweza kupotoshwa kwa ulimwengu huu wa utandawazi? Prof. kasema kwamba mlishindwa kumuelewa na kuanza kumtafsiri vibaya lakini wewe unapotosha eti kakiri kukosea. Prof shikilia hapohapo kuna watu wanataka kupima fikra za kiprofesa kwa uzushi na upotoshaji
Ashikilie popote ila ndio amesha ujulisha ulimwengu kuwa Azory ALITEKWA NA KUFA, period..mengine mbwembwe za paka kukalia mkia .
 
Ameonyesha umbilimbi wake
Alipohojiwa wakati ule wa Lissu ndipo nilipoamini kuwa uprofressor alinunua
Amelikoroga aandae vikombe kunywa uji mbichi
Karma is a bitch karibu mtasema ukweli
uzuri wa Prof anajua alichoongea na siku akija kuwajibu mtashanga kwelikweli jinsi mnavyobisha msiyoyajua. si ajabu Kabudi achapie Lissu akae kimya, ni ishara kwamba Lissu kaanza kumuelewa kabudi kama profesa na anapima uzito wa kila neno analosema prof. ndio maana yupo kimya
 
Kwa hiyo Watz woote zaidi ya million 50 wakubwa kwa wadogo hawakumuelewa prof Kabudi?

Hadi ma prof wenzie nao hawajamuelewa?

Mbona anazidi kutukana watz?
 
Ni kwa sabb amekuta nchi ya wajinga,ingekuwa nchi huru asingebwabwaja haya akiwa wazr tena,angeshang'oka
 
Amesahau kuwa yeye ametolewa jalalani, angekubali tu kuwa lugha ilinipisha naomba ladhi wandugu biashara kwisha, ila kutufanya hatujui tafasiri hapo pagumu kumeza.
 
uzuri wa Prof anajua alichoongea na siku akija kuwajibu mtashanga kwelikweli jinsi mnavyobisha msiyoyajua. si ajabu Kabudi achapie Lissu akae kimya, ni ishara kwamba Lissu kaanza kumuelewa kabudi kama profesa na anapima uzito wa kila neno analosema prof. ndio maana yupo kimya
dunia inakushangaa kwa ujinga wako? kwamba ati ili kujua kwamba kabudi hana akili ni lazima lisu aseme? lisu keshasema alishambuliwa na serikali mbona mnashikilia kwamba nae alishambuliwa na MBOWE wengine mnasema alijishambulia? huwezi kuzuia maji kwa kiganja cha mkono... we baki na utahira wako kichwani ila Ben sanane, Mawazo, Azory Gwanda kauwawa na serikali ya Magufuli haihitaji kauli ya lisu hapo.
lisu akisema mnasema anatumiwa na mabeberu bila kusema hao mabeberu wanataka nni kwenu
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amekanusha kuwa amethibitisha 'kifo' cha mwanahabari Azory Gwanda.

Msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania, Dkt Hassan Abbas amemnukuu Profesa Kabudi kwa kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter akisema: "Nimepokea kwa masikitiko taarifa potofu zinazoendelea kuchapishwa kwenye mitandao ya kijamii ikinukuu kimakosa mahojiano yangu kwenye kipindi cha BBC FOCUS ON AFRICA zikidai kuwa nimethibitisha kwamba mwanahabari Azory Gwanda amefariki dunia."

Lakini Prof Kabudi pia amesema bado haijulikani kama Bw Gwanda yungali hai: "Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Azory yuko hai au amefariki. Vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchunguza tukio hilo na matukio mengine yaliyotokea katika machafuko ya Kibiti, Pwani yaliyosababisha ama watu kadhaa kupoteza maisha au kupotea."

Kabudi amesema kuwa, kilichotokea ni tafsiri potofu ya kile alishokisema: "Hii sio tafsiri sahihi kuhusu kile nilichokisema. Katika mahojiano hayo nilieleza kuwa tukio lililotokea Kibiti lilikuwa ni la kuhuzunisha na wapo watanzania waliouawa na wengine kupotea. SIKUTHIBITISHA kuwa Azory Gwanda amefariki."

Huo ni upupu, wamejimwagia wenyewe, sasa wanajikuna kila mtu kivyake.
Kabudi ndiye kasema amekufa, sasa yeye anakanusha kuwa hajasema hivyo, anataka kukanusha habari za mtu mwingine? Hiyo kauli ya kabudi hisinge kuwa recorded huko nje ya nchi, basi wangesema watu wameiedit.

Anyamaze tu maana wakati wa waovu kujitambulisha umefika
 
dunia inakushangaa kwa ujinga wako? kwamba ati ili kujua kwamba kabudi hana akili ni lazima lisu aseme? lisu keshasema alishambuliwa na serikali mbona mnashikilia kwamba nae alishambuliwa na MBOWE wengine mnasema alijishambulia? huwezi kuzuia maji kwa kiganja cha mkono... we baki na utahira wako kichwani ila Ben sanane, Mawazo, Azory Gwanda kauwawa na serikali ya Magufuli haihitaji kauli ya lisu hapo.
lisu akisema mnasema anatumiwa na mabeberu bila kusema hao mabeberu wanataka nni kwenu
mbona hatuulizi vifo vya wale wengine ambao ni viongozi wa serikali na wanaCCM, na polisi kule rufiji? au kwa kuwa ni wanaCCM vifo vyao haviumizi? aisee! kazi kweli kweli... leo swali linaulizwa juu ya alipo azory Gwanda huku anayeuliza anajua kabisa Gwanda tukio lake lilitokea kibiti ambapo kuna wengine wengi walipotea huko n wengine kufa lakini cha kusikitisha vifo vya wengine vimesahaulika, ni kwa sabbau gani?

Prof. Kawajibu vyema kwamba tukio lile kama linahusika na kibiti kuna wengine wengi walipotea na wengine kufa na si Gwanda tu lakini bado serikali inaendelea na uchunguzi kubaini chanzo
 
Ameonyesha umbilimbi wake
Alipohojiwa wakati ule wa Lissu ndipo nilipoamini kuwa uprofressor alinunua
Amelikoroga aandae vikombe kunywa uji mbichi
Karma is a bitch karibu mtasema ukweli
OMG Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”. How did Palamagamba know that Azory is dead? @CPJAfrica Amnesty https://t.co/EjCrH98MuI
 
Eti huyo ndio profesa majalalani
IMG_20190711_161952.jpeg
 
Viatu alivyovyeshwa prof vikubwa tumsamehe bure,ila neno la kwanza ndo tumelielewa wanazengo.
 
Back
Top Bottom