Waziri Kabudi akanusha kuthibitisha kifo cha Mwanahabari, Azory Gwanda

Kashtuka maana kaingilia kazi ya Msiba ya kutangaza.

Na asubiri simu maana jamaa alisema huwa anawapigia simu na kuwatukana.
 
Damu nzito kuriko maji ipo siku mtasema tu Ukwelii mnawauwa damu zikianza kuwalilia mnaanza kuropokaropoka
 
Lakini kukosea kidogo jina si big deal.

Watu tulio wengi naamini ndimi zetu huteleza.

Wewe hujawahi kukosea jina la mtu?

..ulichosema ni kweli.

..na mimi nilikuwa "nachomekea" kwamba Prof anaweza kujitetea kuwa alikuwa anamzungumzia " Azory Rwanda" na siyo Azory Gwanda.

..kwenye post yako nyingine ulisema Prof alipaswa kuomba radhi na ku-move on na siyo kujaribu kukanusha kitu chenye ushahidi wa video na audio.

..Nakubaliana na wewe 100% ktk hilo.
 
Unaweza kuandika ulichokiandika kwa maneno ya kiingereza?
 
bora ukae kimya tu maana hata hujui usemalo. ninyi ndio mnampa tabu Melo kuitwa mahakamani kila siku kwa matataizo mliyoyasababisha. Kwa mfano, ukahitajika kuthibisha mbele ya mahakama kisheria kwamba Prof. aliongea unachoamanisha watu, utafanya hivyo?
 
Wewe bwege unajua naongelea nini?
 
Mbona umepanic?
 
We naye ovyo kabisa!
 
Unaonekana we ni dhaifu.
 
Kama nikiambiwa nichore graph ya Mafanikio na Mienendo ya Mwanataaluma ( Mwanazuoni ) Waziri Profesa Kabudi nadhani itakuwa inashuka tu kila Uchao hivyo kama Mtanzania wa kawaida tu namshaui aachane tu na Siasa apumzike alee vyema Wajukuu na Vitukuu vyake.

Anadhalilika mno na leo niseme tu kwamba yule Kabudi niliyekuwa namjua Mimi siyo huyu wa leo na sijui wanafamilia wake na hadi wale Wanafunzia ambao aliwafundisha sasa wanajisikiaje kwa aina ya Maboko ( Makosa ) ambayo kila Uchao anayatoa tu.

Zamani nilikuwa nikiambiwa huyu ni Profesa nilikuwa naogopa na kutetemeka mno kwani nilihisi kuwa hawa Maprofesa IQ zao hazikuwa za kawaida na kwamba uwezo wao wa Kufikiri, Kutathmini na Kuchambua mambo ulikuwa ni mkubwa sana ila sasa nimegundua ya kuwa huenda Watu ambao wakawa ndiyo wanaongoza kwa Ududuna ( Upumbavu ) basi wakawa ni hawa Watu wanaoitwa Maprofesa ( japo siyo wote ) hasa kutokana na mienendo yao mizima.
 
Achana nao mkuu ndio walewale wap......vu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…