Hilo bwawa lililojengwa litafaidisha wilaya tano ambazo zinazunguka hilo Bwawa kwa shughuli za uvuvi.Litatengeneza ajira nyingi sana.Likikamilika misamaki hiyo inamwagwaNuclear ni cheaper zaidi..
Maji kuna gharama za mazingira kubwa Sana
Kufyeka heka zote zile utasema hakuna gharama?
Amepima loss yake? Kufyeka heka zaidi ya milioni?
Nashukuru kwa hizo taarifa.From my experince in Europe. For example, during a windy day, electricity prizes goes to negative. Upepo unapokuwa mwingi bei ya umeme inakuwa negative japo hali hii haitokei kila siku au kwa muda mrefu.
Finland goes negative after winds beat down electricity prices
Electricity prices in Finland were negative for four hours early Monday morning.yle.fi
Muongo amekubali bwawa lianze kujazwa maji?Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana...
Aweke akiba ya maneno sie ikikaribia tutamkumbusha kwani tumeweka alarm kbsWaziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana...
Eeenheee, Heee,Tulipofikia, unaweza kuwapa mtihani mmoja wahitimu wa darasa la saba na maprofesa na madokta na wahitimu wa la darasa la saba wakafaulu mtihani huo kuliko hao wengine.
Hamna lolote! Sasa kama umeme wa maji ni rahisi unit ni shilling 36, kwani umeme tunaotumia sisi wa Kidatu na Kihansi si wamaji, mbona tunalipa shilling 320 kwa Unit? Ndio zao hao tusije tukajikuta umeme huhuo wa bwawa la Nyerere tuuziwe unit kwa 500shtWaziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana...
Nyuklia si nafuu! Gharama za bima za ajali (ambazo kila kituo cha umeme kinahitaji!) ni juu mno kiasi cha hadi sasa nchi nyingi zilifuta masharti haya kwa vituo vya nyuklia. Maana gharama zimefichwa. Pale unapohitaji kuweka bima, hakuna anayejenga. Au unajua mfano??? Lete!Nuclear ni cheaper kuliko gasi, tatizo ni usalama; infrastarture ya Nuclear power plant inahitaji investmenet kubwa sana ili kuthibitisha usalama kuliko power sources nyingine.
Hizi "bei has" hazifikii kwenye ngazi ya mteja; Hadi sasa umeme wa upepo una changamoto kuna njia chache mno ya kuihifadhi; bei kati ya watengenezaji na makampuni makubwa huwa hasi wakati upatikanaji wa umeme unazidi mahitaji.Nashukuru kwa hizo taarifa..
Sio kweli kule wapo Mantra chini ya Uranium One ya Urusi. Ingawa na Muhongo ndio aliwasainisha mkataba huku anawarushia makaratasi... Baada ya Mkwere na Nyarandu kuvuta chao halafu fupa wakamwachia prof.Kuna jamaa yangu alinidokezea kuwa walishachukua usa toka enzi za mkwere!
Kwa hiyo tulishapigwa tayariKule wapo Mantra chini ya Uranium One ya Urusi.
Unaonyesha umbumbu wako, hiyo hapo ni bei ya kuzalisha, ukiuza unit 1 sh 37 inamaanisha Maintainance cost na kurudisha pesa ya investment hamna, bei itashuka kidogo sana Ila shirika la Tanesco litaanza kutengeneza faida ambayo inaweza kutumika kuanzisha miradi mingine badala ya kuchota serikali kuu.
FYI; Kipindi cha JK Tanesco walikuwa wanauziwa unit moja zaidi ya Tsh 400 sababu ya mikataba ya kijinga ya Dowans, IPTL na ifananayo...
Hizi stori za unafuu wa bei za upatikanaji wa nishati huwa zinapigwa Sana wakati wa ujenzi wa mradi.
Gesi ya Mtwara tuliambiwa Mtwara itageuka kuwa Paradiso na Tanzania itajaa neema. Lln mpk Sasa hatuoni