Umeme mpaka kijijini REAAcha kutetea ujinga, kama ilikuwa temporary solution kwa nini aliingia mikataba ya kijinga ya Dowans na IPTL? JK alikuwa ameifilisi Tanesco, hadi 2015 umeme ilikuwa ni luxurious service kwa watz, saivi bila aibu tena mifisadi na mishetani ile ile inatumia njia zile zile tena kutaka kuanza kuinajisi nchi hii.
Naomba nikuvumilie tu,Unaonyesha umbumbu wako, hiyo hapo ni bei ya kuzalisha, ukiuza unit 1 sh 37 inamaanisha Maintainance cost na kurudisha pesa ya investment hamna, bei itashuka kidogo sana Ila shirika la Tanesco litaanza kutengeneza faida ambayo inaweza kutumika kuanzisha miradi mingine badala ya kuchota serikali kuu.
FYI; Kipindi cha JK Tanesco walikuwa wanauziwa unit moja zaidi ya Tsh 400 sababu ya mikataba ya kijinga ya Dowans, IPTL na ifananayo...
Asante Mkuu kunisaidia,Mkuu mpambe wa Kalemani tunaomba utueleze sisi watumiaji tutalipa bei gani? Porojo hazitakusaidia kitu
Kweli unamtetea Dictator??? Kweli Watanzania hatuna akili...Tanzania wamejaa akina profesa Muhogo ambao enzi zao walikuwa wanaingia mikataba mingi ya kitapeli kwa manufaa yao na wakati mwendazake alipokuwa hai hawakuwa na jeuri ya kubweka kama wanavyobekwa hivi sasa, kweli mwendazake alikuwa chiboko mijizi na mitapeli yote ilikuwa kimya
Ninawasalimu wote,
Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,
• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.
• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.
• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.
• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.
• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.
• Gas shilingi 147 kwa unit moja.
• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.
Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).
Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.
Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Mkuu hiyo ni migodi ya watuNinawasalimu wote,

Hatari snKweli unamtetea Dictator??? Kweli Watanzania hatuna akili...
Hii ni point kubwa sanaLakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
I support this! Matumaini yetu ni kuwa mwisho wa yote umeme Tanzania utakuwa wa gharama ndogo. Watueleze itakuwa kiasi gani sasa maana kifo cha JPM kinaweza kufungua Milango ya wapigaji wakaweka ufisadi kiasi unit ikawa si shs 34. Ikiwa kinyume tutajua JK na wapigaji wake wamemzunguka SamiaNinawasalimu wote,
Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,
• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.
• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.
• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.
• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.
• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.
• Gas shilingi 147 kwa unit moja.
• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.
Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).
Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.
Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Mkuu Generalist,Tuache Kupinga kila Kitu na kuweka Chuki na Siasa zetu katika kila jambo. Tutachelewa na tubadilike.
Hivi 'logically' tu kutoka Tsh 103 kwa Unit 1 ( kama sijakosea ) hadi kufikia Tsh 36 kwa Unit 1 hii ( hiyo ) siyo nafuu?
Dk. Kalemani ana matatizo yake nae, ila kwa hili na Umeme namuunga mkono tena 100%.
Kama unaongelea umeme kushuka bei hiyo sio target, wanachoangalia ni nmana Tanaesco itaondolewa katika hasara ambayo sasa wanapata kwa kununua umeme sh 450 na kuuza sh 350 kwa watejaNinawasalimu wote,
Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,
• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.
• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.
• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.
• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.
• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.
• Gas shilingi 147 kwa unit moja.
• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.
Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).
Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.
Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Nawaleteeni andiko dogo la mfananisho wa hydroelectricity na Gas kwa wenzetu ili msiumize vichwa na kuweka maneno yenu ya kisiasa kwenye mambo ya kitaaluma.Ninawasalimu wote,
Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,
• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.
• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.
• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.
• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.
• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.
• Gas shilingi 147 kwa unit moja.
• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.
Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).
Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.
Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Hili swala ndio prof.Muhongo aliuliza,umeme utashuka au utauzwa kibiashara? Wanaoshangilia leo wengi wao ni wajinga wanaodhani kwamba ati umeme utashuka wakati haitakaa itokee.Ninawasalimu wote,
Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,
• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.
• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.
• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.
• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.
• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.
• Gas shilingi 147 kwa unit moja.
• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.
Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).
Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.
Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Utamuuzia umeme nani wakati investment ya Umeme kwa Kenya hapo ni kubwa kuliko hata ya Umeme wa Bongo? Wengine wote Wana excessJe na hao tutakao wauzia umeme wetu mfano Nchi jirani tutawapunguzia gharama kisa umeme wa maji? UMEME ni umeme tu waache uhuni.
Kinachozuia saizi isishuke ni nini maana hakuna umeme wa makampuni unaonunuliwaUnaonyesha umbumbu wako, hiyo hapo ni bei ya kuzalisha, ukiuza unit 1 sh 37 inamaanisha Maintainance cost na kurudisha pesa ya investment hamna, bei itashuka kidogo sana Ila shirika la Tanesco litaanza kutengeneza faida ambayo inaweza kutumika kuanzisha miradi mingine badala ya kuchota serikali kuu.
FYI; Kipindi cha JK Tanesco walikuwa wanauziwa unit moja zaidi ya Tsh 400 sababu ya mikataba ya kijinga ya Dowans, IPTL na ifananayo...
Do you knows kwamba kwa production ya sasa kuna surplus ya Umeme? Uhakika gani unaousemea wewe? Na mumewaaminisha wanyonge eti umeme utashuka yaani nitacheka kwa kejeli bwawa likiisha na bei zikapanda au kubaki zilivyo ndipo wanyonge watajua kwamba hawajui,mimi nina uhakika uwezekano wa bei kuongezeka na usumbufu wa umeme utakuwa palepale kwa sababu tatizo sio quantity bali gharama za uendeshaji,maintanance vs demand ya kibiasharaTutarajie umeme wa uhakika na kutopandishwa bei.
Ndio maana wameshadidia mradi mkubwa ila useless, gharama za mradi sio sahihi wameoverprice Ili wapate chaoBiashara kwa serikali ni kutengeneza ufisadi wa pesa za umma
Na kipindi cha JK ulihitajika umeme wa dharura Ili kuokoa jahazi na ni kipindi ambacho uchumi ulistawi ghafla na mahitaji ya Umeme yalidabo ndio maana ilihitajika umeme wa dharura japo expensive.Tusisahau ndugu zangu watz tunaposema "KIPINDI CHA JK" tusiwe na maana kwamba ilikuwa upigaji mtupu. Tukumbuke wakati anaingia tu nchi ilikuwa na matatizo makubwa ya umeme tena makubwa sana naamini jukumu lake kubwa lilikuwa kuhakikisha umeme unarejea katika hali ya kawaida....