Umeme mpaka kijijini REAAcha kutetea ujinga, kama ilikuwa temporary solution kwa nini aliingia mikataba ya kijinga ya Dowans na IPTL? JK alikuwa ameifilisi Tanesco, hadi 2015 umeme ilikuwa ni luxurious service kwa watz, saivi bila aibu tena mifisadi na mishetani ile ile inatumia njia zile zile tena kutaka kuanza kuinajisi nchi hii.