Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

Acha kutetea ujinga, kama ilikuwa temporary solution kwa nini aliingia mikataba ya kijinga ya Dowans na IPTL? JK alikuwa ameifilisi Tanesco, hadi 2015 umeme ilikuwa ni luxurious service kwa watz, saivi bila aibu tena mifisadi na mishetani ile ile inatumia njia zile zile tena kutaka kuanza kuinajisi nchi hii.
Umeme mpaka kijijini REA
 
Unaonyesha umbumbu wako, hiyo hapo ni bei ya kuzalisha, ukiuza unit 1 sh 37 inamaanisha Maintainance cost na kurudisha pesa ya investment hamna, bei itashuka kidogo sana Ila shirika la Tanesco litaanza kutengeneza faida ambayo inaweza kutumika kuanzisha miradi mingine badala ya kuchota serikali kuu.

FYI; Kipindi cha JK Tanesco walikuwa wanauziwa unit moja zaidi ya Tsh 400 sababu ya mikataba ya kijinga ya Dowans, IPTL na ifananayo...
Naomba nikuvumilie tu,

Hoja yangu ni kwamba kama Mh. Waziri amesema Gharama ya Kuzalisha Unit 1 ni Tshs 37.

Je huo umeme unaozalishwa utauzwa Kwa Tshs ngapi kwa Unit ikiwa ni Bei nafuu kwa mtumiaji wa Mwisho?
 
Mkuu mpambe wa Kalemani tunaomba utueleze sisi watumiaji tutalipa bei gani? Porojo hazitakusaidia kitu
Asante Mkuu kunisaidia,

Tunahitaji kujua bei Kwa Unit baada ya uzalishaji Kuanza.

Hizi zingine zote ni porojo tu.
 
Tanzania wamejaa akina profesa Muhogo ambao enzi zao walikuwa wanaingia mikataba mingi ya kitapeli kwa manufaa yao na wakati mwendazake alipokuwa hai hawakuwa na jeuri ya kubweka kama wanavyobekwa hivi sasa, kweli mwendazake alikuwa chiboko mijizi na mitapeli yote ilikuwa kimya
Kweli unamtetea Dictator??? Kweli Watanzania hatuna akili...
 
Ninawasalimu wote,

Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,

• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.

• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.

• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.

• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.

• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.

• Gas shilingi 147 kwa unit moja.

• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.

Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).

Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.

Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.

Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.

Tuache Kupinga kila Kitu na kuweka Chuki na Siasa zetu katika kila jambo. Tutachelewa na tubadilike.

Hivi 'logically' tu kutoka Tsh 103 kwa Unit 1 ( kama sijakosea ) hadi kufikia Tsh 36 kwa Unit 1 hii ( hiyo ) siyo nafuu?

Dk. Kalemani ana matatizo yake nae, ila kwa hili na Umeme namuunga mkono tena 100%.
 
Mkuu hiyo ni migodi ya watu
 
Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.
Hii ni point kubwa sana
 
I support this! Matumaini yetu ni kuwa mwisho wa yote umeme Tanzania utakuwa wa gharama ndogo. Watueleze itakuwa kiasi gani sasa maana kifo cha JPM kinaweza kufungua Milango ya wapigaji wakaweka ufisadi kiasi unit ikawa si shs 34. Ikiwa kinyume tutajua JK na wapigaji wake wamemzunguka Samia
 
Kutwambia umeme wa maji ni gharama za chini lakini gharama za Stiegler si zingetosha kuanzisha miradi ya umeme wa jua na upepo ?
Nawaza tu kwa sauti hapa maana umeme umekuwa dili sana kwa serikali ya chama cha mapinduzi na wanasiasa wao
 
Tuache Kupinga kila Kitu na kuweka Chuki na Siasa zetu katika kila jambo. Tutachelewa na tubadilike.

Hivi 'logically' tu kutoka Tsh 103 kwa Unit 1 ( kama sijakosea ) hadi kufikia Tsh 36 kwa Unit 1 hii ( hiyo ) siyo nafuu?

Dk. Kalemani ana matatizo yake nae, ila kwa hili na Umeme namuunga mkono tena 100%.
Mkuu Generalist,

Hatupingi, Ila kama Mh. Waziri ameweka wazi PRODUCTION COST @UNIT basi pia aweke wazi SELLING PRICE @UNIT baada ya Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere Kuanza kufanya KAZI.
 
Ninawasalimu wote,

Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,

• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.

• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.

• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.

• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.

• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.

• Gas shilingi 147 kwa unit moja.

• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.

Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).

Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.

Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.

Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Kama unaongelea umeme kushuka bei hiyo sio target, wanachoangalia ni nmana Tanaesco itaondolewa katika hasara ambayo sasa wanapata kwa kununua umeme sh 450 na kuuza sh 350 kwa wateja

Kimsingi gharama ya kuzalisha ni jambo moja, kuna gharama za kusafirisha, matengenezo, usambazaji na gharama nyingine nyingi za uendeshji
 
Wasomi wengi nchi hii hakuna kitu maana hata huyu Kalamaini naye ni msomi tena wa Phd lakini kuna mambno huwa anasema nadhani anafananisha watanzania wote kama wale wapiga kura wake wa chato sidhani kama kuna kiongozi mwenye nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watanzania , hawa maprofesa na madokta ndio wachumia tumbo nambari wani hawajawaki kutoa solution yoyote ya kitaalam kwenye matatatizo ya watu zaidi ya siasa na porojo tu, huyu alitakiwa apumzishwe tu maana naye ana makandokando meeengi hasa huko kwenye REA
 
Ninawasalimu wote,

Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,

• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.

• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.

• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.

• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.

• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.

• Gas shilingi 147 kwa unit moja.

• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.

Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).

Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.

Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.

Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Nawaleteeni andiko dogo la mfananisho wa hydroelectricity na Gas kwa wenzetu ili msiumize vichwa na kuweka maneno yenu ya kisiasa kwenye mambo ya kitaaluma.
 
Attachments

Ninawasalimu wote,

Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa,

• Maji ni shilingi 36 kwa unit moja.

• Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja.

• Solar na upepo shilingi 103 kwa unit moja.

• Makaa ya mawe shilingi 118 kwa unit moja.

• Joto Ardhi shilingi 119 hadi 120 kwa unit moja.

• Gas shilingi 147 kwa unit moja.

• Mafuta mazito shilingi 546 kwa unit moja.

Pia alisema umeme wa maji ndio wa nafuu kuliko vyanzo vingine vyote. (Alipokuwa akitoa Taarifa hii kulikuwa na shangwe za kutosha).

Binafsi nampongeza sana kwa ufafanuzi alioutoa.

Lakini nahitaji Mheshimiwa Waziri wa Nishati atuambie na Kututhibitishia kwa UWAZI kabisa GHARAMA AMBAYO MTUMIAJI WA UMEME ATATOZWA KWA KILA UNIT MOJA (1) baada ya BWAWA LA MWALIMU NYERERE Kuanza kuzalisha Umeme.

Hii habari ya kutuambia na kutuaminisha kuwa Umeme wa Maji ni umeme wa Gharama nafuu bila kutuambia na kutuhakikishia Gharama halisi kwa Unit Kwa Mtumiaji wa Mwisho ni kutuona Sisi Watanzania kuwa ni Wajinga.
Hili swala ndio prof.Muhongo aliuliza,umeme utashuka au utauzwa kibiashara? Wanaoshangilia leo wengi wao ni wajinga wanaodhani kwamba ati umeme utashuka wakati haitakaa itokee.

Wao wanadhani eti saizi tuna umeme kidogo na wa kununua elsewhere wakati so far tuna excess na umeme wa kununua ni wa gas tuu na bado bei hqzishuki Tanesco wanataka Kuipandisha .
 
Je na hao tutakao wauzia umeme wetu mfano Nchi jirani tutawapunguzia gharama kisa umeme wa maji? UMEME ni umeme tu waache uhuni.
Utamuuzia umeme nani wakati investment ya Umeme kwa Kenya hapo ni kubwa kuliko hata ya Umeme wa Bongo? Wengine wote Wana excess
 
Unaonyesha umbumbu wako, hiyo hapo ni bei ya kuzalisha, ukiuza unit 1 sh 37 inamaanisha Maintainance cost na kurudisha pesa ya investment hamna, bei itashuka kidogo sana Ila shirika la Tanesco litaanza kutengeneza faida ambayo inaweza kutumika kuanzisha miradi mingine badala ya kuchota serikali kuu.

FYI; Kipindi cha JK Tanesco walikuwa wanauziwa unit moja zaidi ya Tsh 400 sababu ya mikataba ya kijinga ya Dowans, IPTL na ifananayo...
Kinachozuia saizi isishuke ni nini maana hakuna umeme wa makampuni unaonunuliwa
 
Tutarajie umeme wa uhakika na kutopandishwa bei.
Do you knows kwamba kwa production ya sasa kuna surplus ya Umeme? Uhakika gani unaousemea wewe? Na mumewaaminisha wanyonge eti umeme utashuka yaani nitacheka kwa kejeli bwawa likiisha na bei zikapanda au kubaki zilivyo ndipo wanyonge watajua kwamba hawajui,mimi nina uhakika uwezekano wa bei kuongezeka na usumbufu wa umeme utakuwa palepale kwa sababu tatizo sio quantity bali gharama za uendeshaji,maintanance vs demand ya kibiashara
 
Biashara kwa serikali ni kutengeneza ufisadi wa pesa za umma
Ndio maana wameshadidia mradi mkubwa ila useless, gharama za mradi sio sahihi wameoverprice Ili wapate chao

Nchi ingeweza ku invest kwenye mradi wa umeme usiozidi mg 1000 na tungekaa nazo kwa miaka zaidi ya 30 ijayo huku pesa zingine zingefanya mambo ya msingi badala ya kujenga mradi wa kitapeli gharama kubwa afu unazalisha umeme ambao hautatumika kwa miaka zaidi ya 50 huku gharama za uendeshaji na maintanance ziko pale pale yaani inaitwa iddle resources
 
Tusisahau ndugu zangu watz tunaposema "KIPINDI CHA JK" tusiwe na maana kwamba ilikuwa upigaji mtupu. Tukumbuke wakati anaingia tu nchi ilikuwa na matatizo makubwa ya umeme tena makubwa sana naamini jukumu lake kubwa lilikuwa kuhakikisha umeme unarejea katika hali ya kawaida....
Na kipindi cha JK ulihitajika umeme wa dharura Ili kuokoa jahazi na ni kipindi ambacho uchumi ulistawi ghafla na mahitaji ya Umeme yalidabo ndio maana ilihitajika umeme wa dharura japo expensive.

Jiwe amepata hata fursa ya kuwekeza huko stiglaz kwa sababu amekuta uhitaji wa umeme umedhibitiwa kwa vyanzo vya gas ,,ndio maana miaka 5 baadae bado mahitaji ya Umeme yamebakia yaleyale.
 
Back
Top Bottom