Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania


Unaweza kutuwekea figures utalii unaingiza pesa kiasi gani? Unaweza vile vile kutueleza nguvu walizotumia zimeingiza hasara kiasi gani? Au tukiwa vitani hakutakuwa na biashara yoyote?

BTW unataka packages za kufufua viwanda unaweza kutolea mfano wewe unataka kufungua kiwanda gani na usaidiwe vipi? As far as I know Banks sasa hivi zinatoa mikopo sio kama wakati wa zamani, unaishi nchi gani?
 
Wamekuja na nyungo ama nini maana tuliambiwa airspace inafunguliwa 27/28 May 2020.

Harafu tujue kwamba watalii kuja haiwezi kuwa muarobaini wa matatizo yetu ya kiuchumi. Ni ujinga kuomba watalii waje wakati huohuo unasema tukatae vifaa vya misaada kama barakoa kwani vinaweza kuwa zimepandikizwa corona.

Kipi ni rahisi kukuletea corona kati ya mtalii na barakoa? Hatari sana!
 

Kuna bank gani inayotoa mkopo leo zaidi ya personal loans kwa watumishi wa umma? Are you dreaming?
 
Figures zinamilikiwa na serikali.
Ndio maana hawasemi covid-19 imeisha kwa kupima watu wangapi.
 
Figures zinamilikiwa na serikali.
Ndio maana hawasemi covid-19 imeisha kwa kupima watu wangapi.

Kwa sababu Western countries wamesema hivyo na wewe umekuwa kama kondoo. Malaria inaua wangapi Tanzania? Aids nk wake up and open your eyes.
 

Wamekuja nandege ya kukodi, watu sita , watalii hapo ni wanne!
Waziri anashangilia.
Mbona mimi hapo sihesabiwi na nimepita majuzi Mkomazi kama mtalii?
 
Watalii wanaingia kwa usafiri gani, maana naona airline kubwa za kimataifa bado hazijaanza safari
 
Wanakaribishwa sana.Wa mbugani waje kwa wingi kule ndiyo kabisa hakuna Corona eti
 
HIYO NDEGE IPO WAPI...TULETEE PICHA. ACHENI UONGO NDEGE HAIJAJA LEO.
 
Kwa sababu Western countries wamesema hivyo na wewe umekuwa kama kondoo. Malaria inaua wangapi Tanzania? Aids nk wake up and open your eyes.
Android na windows bila kusahau Internet ni products za "western"

Ninayo sababu ya kuwaamini.
 
...Mambo ni mengi mda ni mchache sana...another political mileage to 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…