Ni jambo la kumshukuru sana Mungu wetu mtenda miujiza........
hao roho zinawauma waache tu kwanza hasira zipungue watakuja.Mmawia, Salary Slip, Technically na wengine karibuni kwenye uzi!!!
Ahahahahh! Watakuwa bado wanapokea maelezo ya wajibu nini! Ahahahah!
fake newsMmawia, Salary Slip, Technically na wengine karibuni kwenye uzi!!!
Mmawia, Salary Slip, technically.Mmawia, Salary Slip, Technically na wengine karibuni kwenye uzi!!!
Habari yako ya kweli iko wapi?fake news
Naona kwenye picha watalii wanamiminika maelfu kwa maelfu.
Maelfu ya watalii
Mamia ya watalii