Kutengeneza trendπSasa akamatwe kwa kosa gani
Mwaipopo kaenda na waandishi wanaoshindwa habari wa kutosha. Hahaha yaani ni futuhi . Sijui kama huyu wazir anajielewaNo maendeleo
Ni mwendo Wa futuhi tu
Yule chizi mwaipopo kaalika waandishi kabisa yaaniKutengeneza trendπ
Police, waziri au kiongozi hawatakiwi kuwa na mamlaka ya kuita raia kiholela.sielewi undani wa hiyo kesi lkn kama kweli aliitwa na polisi na akakaidi basi anapaswa kukamatwa nafikiri hilo lipo kisheria, polisi wanaweza kumuita mtu yoyote yule ...
Police, waziri au kiongozi hawatakiwi kuwa na mamlaka ya kuita raia kiholela.
Kwa nini msingetumia njia hizo za mtandao kumfikia mfano zoom, MS Teams... na kuhusu hilo la kupimwa, huwezi kumuamrisha mtu apimwe, ni uvunjivu wa haki za mtu anayehusika... acheni kumsumbua...