Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Sasa mlima kilimanjaro sio tallest bali ni highest.

Tallest - mrefu zaidi
Highest - Juu zaidi

Mlima kilimanjaro sio mrefu zaidi bali upo juu zaidi kutoka usawa wa bahari.
Hapa ndipo wengi wanajichanganya na kuona high na tall yanaweza kutumika interchangeably lakini kiuhalisia yana maanisha concept tofauti.
 
Basi the longest mountain.

Au the mountain with many many kilometers
Hata biggest mountain au huge mountain poa tu, la msingi kuelewana mengine mbwembwe.
 
Mwenyewe ameshakubali kwamba kakosea sasa nini wewe kupambapamba tena hapa kwamba yupo sahihi? Wabongo bwana
 
Huu ujinga wa kujifanya kwamva Lugha ya kpingereza ndo kigezo cha kumpima akili...watu tunakosea saaaaaana...tunarudi kule kule kwenye Ukoloni mambo leo....kutawaliwa ki Fikra...Kiswahili ni Lugha ya Watu huru..Tunajivunia
 
Sasa hao watalii wanaotuletea pesa za kigeni tuwasiliane nao kwa lugha za ishara?
Nani aliekwambia Watlii wote wanaokuja Tanzania wanazungumza Kingereza???dadisi ujue...Umoja wa ulaya nchi inayozungumza Kingereza ni UK tuu...na kule America ya Kaskazini ni Marekani na Canada tena Canada Quebec wanazungumza kifaransa...Nenda Zanzibar uonane na Beach boy wakupe maarifa.
 
kwa hiyo anapenda kujua kiingereza? mbona boss wake anaogopa kwenda nje kwa sababu ya kiingereza na hata akipigiwa simu na wenzake anazima?
 
Commonwealth ilienea 3/4 ya dunia, ni 1/4 ndiyo hawazungumzi Kiingereza duniani. Hata hivyo nchi za Ulaya ni lazima mtoto shule I afundishwe lugha ya ziada. Watoto wa Uingereza wanajifunza aKijerumani, Kihispania au Kifaransa hivyo hivyo na watoto watoto wa EU
 
Yaani ukimsikiliza mtu ambaye si english native speaker halafu awe anatokea 'bongo' utajua kiingereza ni lugha ngumu sana kuijua.
Si Bora kiingereza cha Nyani, Cha Kiranga sasa ndio utajua kuwa hii lugha huku tunajifanya tunaijua ila hatuijui kabisa.
 
Ni watu na sio sheria ya lugha yenyewe

Sasa utabishana na wenye lugha yao ndugu yangu? , English native speakers wanaona ni sahihi kutumia neno "tallest" kwenye milima.
Hata kwenye Jiografia ni sahihi pia kutumia neno Tall kwa ajili ya Milima.

Neno Tall linatumika pale unapopima Vertical height kutoka chini ya mlima mpaka kwenye peak

Neno High linatumika unaporefer kwenye altitude, yaani kuanzia kwenye usawa wa bahari. Ndiyo maana Everest ni Highest mountain in the world na siyo tallest mountain in the world

Kilimanjaro. ni Highest mountain in Africa na ni tallest mountain in Africa ukiupima vertically kuanzia pale Chini

Ili kuona kuwa neno Tallest linatumika au halitumiki kwenye milima angalia picha hii chini, nimeichukua kutoka kwenye mtandao wa wataalamu wenyewe wa milima wa geology. com

 
i will cut you the millet
" nitakukata mtama"

kiingereza rahisi sana nyie mnafanya mambo mepesi yaonekane magumu
 
Kwa taarifa yako...lugha ya ziada inayosomwa zaidi na nchi za ulaya ni Kifaransa na Kijerumani...na ni kwa sababu 1,Ujerumani ndpio nchi inayotoa Ajira nyingi zaidi kwa watu wanachama wa ulaya 2,ufaransa ndio nchi ambayo raia wake wengi hawajifunzi lugha za watu kwa hyo uwawia ngumu watu wa Nchi nyingine za ulaya wakisafiri huko...
 
Nakazia

Kwani mataifa yote yanazungumza kingereza?
 
Hii story ni ya kutunga.

1. Alifungua mlango kwa " master key"...maana yake lazima kilikuwa ni kitasa.

2. Akaondoka akaweka "lock"...sijui ulikuwa mlango wa gari?

3. Akanirudishia funguo zangu.

Izo funguo zako alikunyanganya lini?
Ha haaa, pia nimeisoma ikabidi nicheke kama kilichoandikwa ndiyo nukuu halisi ya 'waziri wa twitter' basi ni bongo muvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…