Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Masters alisoma Sweden atakuwa anajua kiswedish huyu
 
Nisingesoma hadi mwisho, ningedhani na wewe ni tabibu, kumbe ilikuwa nukuu.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Kujua Kiingereza kwa Mtu mwenye PhD Tanzania ni "lazima" Kwa kuwa PhD zote nchini Tanzania zinapatikana kwa Lugha ya Kiingereza.... Usipokuwa na uwezo wa kuongea kiingereza hii inaelekea mpaka ku jiuliza hiyo PhD ilipatikanaje Sasa.... ๐Ÿ˜ณ
 
Kujua Kiingereza kwa Mtu mwenye PhD Tanzania ni "lazima" Kwa kuwa PhD zote nchini Tanzania zinapatikana kwa Lugha ya Kiingereza.... Usipokuwa na uwezo wa kuongea kiingereza hii inaelekea mpaka ku jiuliza hiyo PhD ilipatikanaje Sasa.... ๐Ÿ˜ณ
 
Utalii ni International . Lugha za Kimataifa Must.
 


Sasa Cha kujiuliza ametumia Lugha hiyo kwenye elimu kwa miaka 12 ya elimu kuanzia Form 1 mpaka kuwa MD !!!!! WASOMI WETU NDIYO MAANA HAWAWEZI KUANDIKA VITABU
 

Kuja tu na haya Majibu yake tayari ameshadhihirisha kuwa hakijui kweli, kwani angekuwa anakijua kamwe asingepoteza muda wa Kuwajibu Watu.
 
Lakini pia hapa kuna jambo alijakaa sawa.
Iweje mtu kwa kipindi cha takriban miaka ishirini anajifunza masomo yake kwa kutumia lugha hiyo hiyo na asiweze kuimudu.
Elimu ya Kenya haipishani sana na yetu ilikuwaje mkenya alikuwa anakukimbiza kwa kingereza.
Aidha watanzania wakipelekwa Urusi China Cuba inawachukua miaka miwili kujifunza lugha za huko na baadae wanahitimu shahada zao wakiwa wanaongea hizo lugha kwa ufasaha.
Tunajitetea sijui wachina warusi nk hawaongei kingereza,tunashindwa kutatua tatizo hili la muda mrefu ambalo majirani zetu hawana.
 
Chuo gani hicho? Mheshimiwa inaelekea anaabudu msosi [emoji23]
Mbaya zaidi alikuwa anamuhifadhi na Dogo lake wa IFM nusura wamdake anakaangiza ubwabwa bwenini huyu Daktarii
 
Kenya kiingereza wanaanza kusoma toka chekechea tofauti na huku kwetu unaanzia secondary. Halafu pia yeye alikuwa mbele kielimu kushinda mimi.
 
Mawaziri wa mtu yule bwana, Kama boss wao.
 


Bendera nyingi humo ndani zinaashiria nini
 
Waambie wewe ulisoma sayansi, na Kyle hakuna mambo ya lugha, usijali mh, mbona tuko wengi????!!!
 
Waambie wewe ulisoma sayansi, na Kyle hakuna mambo ya lugha, usijali mh, mbona tuko wengi????!!!
No Universities wanaweka essays hata mbili kwa mwaka na presentations ili kukupima uwezo wa lugha utakayo hitimu nayo.
 
Sasa tunawaomba wasiwe wanasign mikataba iliyo andikwa kwa kinge...kama kinge kwao ni changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ