Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Napotosha kwamba watu hawajafa? Wengine hawakufa majumbani kwao?? Na watoto hawajafa??
Au napotoshaje mkuuu??
Gentleman,
changamoto ulio nayo ni kutokuelewa unachotaka kujua katika jambo hilo ambalo tume ya jaji chande iliweka wazi na kubainisha kila kitu,

sasa sijui ni uvivu wa kuelewa mambo au ni ubishi tu wa kuzaliwa kama muungwana anesota korokoroni? hata hivyo huo ni mzigo wako mwenyewe, uatake kuelewa ukweli ulivyo au ukatae kuelewa na ung'ang'anae na porojo, its none of our bussness but yours
 
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama huyu kuongea upuuzi wa dizaini hii katikati ya wimbi la chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao kutokana na matukio ya Oktoba 29, anadhihirisha wazi kuwa ni mamlaka ndiyo ziliamuru kutokea yale yaliyotokea, viongozi wa hovyo kabisa hawa
 
Siku utakayoamua kukubaliana na ukweli ndio siku utakayokubaliana na mimi.
 
Aisee
 
Amesema risasi?

Mini nina video hapa hajasema risasi amesema ukimpiga jiwe polisi "general order yake inamwambia attack first".

Attack si lazima iwe kwa risasi. Inawezekana akakupiga virungu.

Simtetei, natafuta ukweli tu.

Nasisitiza, sijasikia neno risasi kwenye audio hii.

Your browser is not able to display this video.
 
Amesema risasi?

Mini nina video hapa hajasema risasi amesema ukimpiga jiwe polisi "general order yake inamwambia attack first".

Attack si lazima iwe kwa risasi.

Simtetei, natafuta ukweli tu.

View attachment 3595980
Kuna principal inasema sikia kilichosemwa elewa ambacho hakijasemwa!
Una attack mtu mwenye jiwe!?
29 Oct police walikuwa Wana attack kwa njia ipi zaidi ya kudungua risasi za vichwa.
Ujumbe wake usikilize kulingana na context ya 29 Oct hiyo ndio tunaongelea na yeye anongelea.
Sioni kama Kuna kitu kigumu kuelewa hapo kwamba kama vile ni elimu ya rocket science
 
Au Samia alipokuwa anamwambia ruto vijana wacharazwe viboko alikuwa anamaanisha viboko kweli!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…