..lkn si.mtakuwa ICCBunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii. EU ilikuwa imepanga kutoa zaidi ya Euro milioni 150, sawa na zaidi ya Sh400 bilioni, kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Tanzania mwaka 2026.
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, imesema inafuatilia kwa karibu suala hilo kupitia kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji lilipo bunge hilo, Jestas Nyamanga. Waziri Kombo amesema serikali itatoa kauli rasmi baada ya kupokea taarifa kamili ya matokeo ya mjadala huo kutoka kwa Balozi Nyamanga.
“Tunafuatilia majadiliano hayo na Balozi Jestas Nyamanga yuko huko kama mwalikwa. EU wana haki ya kujadili chochote kwa sababu ni fedha zao, ni haki yao. Balozi wetu atatuleta ripoti kisha Serikali tutatoa taarifa,” amesema Balozi Kombo katika taarifa iliyochapishwa na gazeti Mwananchi.
Akizungumzia athari za kusitishwa kwa fedha hizo, Waziri Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa shughuli za maendeleo, kwani ina bajeti na vyanzo vyake vingine vya mapato. Amesema ni muhimu wananchi kufuatilia kiasi halisi kinachotarajiwa kukosekana na kukilinganisha na bajeti ya Taifa kwa mwaka 2025/26 ambayo ni Sh56.49 trilioni.
“Fuatilia huko mitandaoni ujue ni kiasi gani cha fedha tutakikosa…Sisi Watanzania hatutakufa kwa kukosa fedha hizo. Angalia wanatoa kiasi gani, kaangalie na bajeti yetu kwa mwaka, kisha fanya hesabu ni asilimia ngapi ya bajeti yetu,” amesema Balozi Kombo.
Azimio la EU limeeleza kusikitishwa na matukio ya vifo vilivyotokea kabla, siku ya uchaguzi na baada yake, pamoja na taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali na udhibiti dhidi ya vyombo vya habari.
Hahahaha tena kweli aisee hawa watu wana jeuri tu,na kama walikuwa wanajiweza kwanini walienda kuomba huo msaadaAnajidai wakati juzi tu ameitisha press kupokea gari mbili za msaada kutoka waarabu wa Qatar.
GENGE LA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI, ZUNGU GSM...WANA ANZA KUTAPIKA NYONGO ....KAMA VIKWAZO AVITA FANIKIWA NAWAKUMBUSHA TU KUWA SERIKALI YAO NI HARAMU WANANCHI WATAFANIKISHA KUIDHIBITI ....MTASHUHUDIA NINAYO YASEMA.Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii. EU ilikuwa imepanga kutoa zaidi ya Euro milioni 150, sawa na zaidi ya Sh400 bilioni, kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Tanzania mwaka 2026.
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, imesema inafuatilia kwa karibu suala hilo kupitia kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji lilipo bunge hilo, Jestas Nyamanga. Waziri Kombo amesema serikali itatoa kauli rasmi baada ya kupokea taarifa kamili ya matokeo ya mjadala huo kutoka kwa Balozi Nyamanga.
“Tunafuatilia majadiliano hayo na Balozi Jestas Nyamanga yuko huko kama mwalikwa. EU wana haki ya kujadili chochote kwa sababu ni fedha zao, ni haki yao. Balozi wetu atatuleta ripoti kisha Serikali tutatoa taarifa,” amesema Balozi Kombo katika taarifa iliyochapishwa na gazeti Mwananchi.
Akizungumzia athari za kusitishwa kwa fedha hizo, Waziri Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa shughuli za maendeleo, kwani ina bajeti na vyanzo vyake vingine vya mapato. Amesema ni muhimu wananchi kufuatilia kiasi halisi kinachotarajiwa kukosekana na kukilinganisha na bajeti ya Taifa kwa mwaka 2025/26 ambayo ni Sh56.49 trilioni.
“Fuatilia huko mitandaoni ujue ni kiasi gani cha fedha tutakikosa…Sisi Watanzania hatutakufa kwa kukosa fedha hizo. Angalia wanatoa kiasi gani, kaangalie na bajeti yetu kwa mwaka, kisha fanya hesabu ni asilimia ngapi ya bajeti yetu,” amesema Balozi Kombo.
Azimio la EU limeeleza kusikitishwa na matukio ya vifo vilivyotokea kabla, siku ya uchaguzi na baada yake, pamoja na taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali na udhibiti dhidi ya vyombo vya habari.
Mngekuwa smart katika kutumia vyema fedha za taifa na rasilimali nyingine, hapo ningeamini mgeweza walau kustahimili hiyo action ya EU. Ila mabaradhuli nyie mnaotafuna hazina ya nchi kama mchwa, tena bila aibu, hakuna solution mtakayokuja nayo.
Kando ya hilo; Kuna USA na nchi nyingine nazo zitachukua hatua hiyo very soon. Na bado ICC inapiga jaramba. Mamamaeeee!
Umeichambua vema mkuu. Kutakuwa na trickle down effect, sio tu kwenye huo msaada bali mambo mengine mengi. Sasa kama umekosa credibility kwenye bunge la ulaya, IMF na World Bank watakuamini vip?Huyu ni mjinga. Hiyo bajeti ya Tanzania ya dola bilioni 22 kwa mwaka huu inajumuisha msaada w EU, misaada na mikopo kutoka mataifa wanachama wa EU. Sasa ukinyimwa msaada wa EU, nchi wanachama wa EU, ukanyimwa na mikopo, bado utasema hakuna athari. Zamia ndani ya miaka 2 amekopazaidiya trilioni 50. Hii ni wastani wa kiasi cha trilioni 25 kwa mwaka. Halafu bajeti yako ni trilioni 57. Ina maana nusu ya bajeti ni mikopo. Sasa ukinyimwa hiyo nusu ya bajeti, mambo yatabakia kawaida?
🤣🤣🤣🤣 Yaani Ile nilicheka sana Kule ni kujidhalilishaAnajidai wakati juzi tu ameitisha press kupokea gari mbili za msaada kutoka waarabu wa Qatar.
Hawa watu ni WAHUNI kwelikweli. Polepole aliona mbaliAnajidai wakati juzi tu ameitisha press kupokea gari mbili za msaada kutoka waarabu wa Qatar.
Umejitahidi kuopoa matunda yaliyoko mtini ukashindwa. Unaishia kusema kwanza matunda menyewe hayajaiva.Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii. EU ilikuwa imepanga kutoa zaidi ya Euro milioni 150, sawa na zaidi ya Sh400 bilioni, kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Tanzania mwaka 2026.
Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, imesema inafuatilia kwa karibu suala hilo kupitia kwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji lilipo bunge hilo, Jestas Nyamanga. Waziri Kombo amesema serikali itatoa kauli rasmi baada ya kupokea taarifa kamili ya matokeo ya mjadala huo kutoka kwa Balozi Nyamanga.
“Tunafuatilia majadiliano hayo na Balozi Jestas Nyamanga yuko huko kama mwalikwa. EU wana haki ya kujadili chochote kwa sababu ni fedha zao, ni haki yao. Balozi wetu atatuleta ripoti kisha Serikali tutatoa taarifa,” amesema Balozi Kombo katika taarifa iliyochapishwa na gazeti Mwananchi.
Akizungumzia athari za kusitishwa kwa fedha hizo, Waziri Kombo amesema Tanzania haitakabiliwa na njaa wala kusimama kwa shughuli za maendeleo, kwani ina bajeti na vyanzo vyake vingine vya mapato. Amesema ni muhimu wananchi kufuatilia kiasi halisi kinachotarajiwa kukosekana na kukilinganisha na bajeti ya Taifa kwa mwaka 2025/26 ambayo ni Sh56.49 trilioni.
“Fuatilia huko mitandaoni ujue ni kiasi gani cha fedha tutakikosa…Sisi Watanzania hatutakufa kwa kukosa fedha hizo. Angalia wanatoa kiasi gani, kaangalie na bajeti yetu kwa mwaka, kisha fanya hesabu ni asilimia ngapi ya bajeti yetu,” amesema Balozi Kombo.
Azimio la EU limeeleza kusikitishwa na matukio ya vifo vilivyotokea kabla, siku ya uchaguzi na baada yake, pamoja na taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo utekaji, mauaji ya wakosoaji wa serikali na udhibiti dhidi ya vyombo vya habari.
Hajui kuwamore sanction zinakujaRais Mzanzibari. Ameua Watanganyika kiasi kwamba sasahivi Tanganyika inatengwa kimataifa na haitaweza kusimama tena
Ili kufanikisha lengo lake alimteua kwa Makusudi Waziri wa Mambo ya Nje mzanzibari mwenzake Thabit Kombo ili ahakikishe Tanganyika kamwe haisimami na inatengwa kabisa kidiplomasia.
Tamko la Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo kuwa hatuwezi kufa njaa baada ya kunyimwa fedha na Umoja wa Ulaya ni sehemu tu ya mkakati wa Wazanzibari kuhakikisha Tanganyika inakufa kabisa kiuchumi na haiwezi kuamka tena.