Waarabu toka lini wakaishi EU au huelewi maana ya EU!Anajidai wakati juzi tu ameitisha press kupokea gari mbili za msaada kutoka waarabu wa Qatar.
Huyu mpuuzi ni mwendawazimu flani, yani yuko very Egocentric to an extent isio na afya kabisa na kwa wadhifa wake anazidi kuyamunya tu kila akisogezewa Mic.Huyu jamaa ukimuangalia kama alishawahi kupata Shida ya afya ya akili utotoni ,anamuaibisha Mzee Thabit Kombo(Mpigania uhuru wa Zanzibar/Tanganyika) baba yake au babu yake.
Anawaringishia EU kwamba watapeleka bakuli uarabuni😁Harafu ni aibu kwa waziri wa mambo ya nje wa nchi kuitisha press ya kupokea magari mawili na mlezi wa kituo cha yatima afanye nini?
Dhahabu haijauzika huko mbona wana tapatapaMiezi miwili tu kwisha kiburi chote
Hana akili huyo Kombo......hakuchaguliwa na wananchi aliohusika kuwaua. Amechaguliwa na huyo bi kizee....Kigalula asiye na akili....Form IV failure. Hajua hata anachoongea fala huyo.Waziri Kombo anazidi kwenda Kombo tu.
Nisiache kumpatia japo kidogo nilichojaliwa leo.
"Kmlamaaaqo Kombo"
Dhahabu haijauzika huko mbona wana tapatapa